Kuna uwezekano mkubwa Jina la Kocha Mkuu wa Simba SC likawa mojawapo kati ya haya manne ( 4 ) hapa......

Mwinyi Zahera kumbe mlikuwa mnammezea mate eeeh.....sasa anakuja kuwa boss wa kocha wenu
 
Mbona tumetangaziwa Didier Gomes da Rosa? Ndo yupi kati ya hawa uliotaja Mkuu.
 

MKUU ukivua miwani ya Kiutani wa jadi utagundua simba ina Vision na Mission. Ili upige Hatua katika Maisha lazima Uwena Vitu

1 Vision
2 Mission
3 Result

Result ni Matokeo ya Vision na Mission. Usidhani simba kubeba ubingwa wa ligi x3 na kutinga hatua ya Makundi champion league kwa x 2 Ndani ya Misimu 3 utagundua Simba ina Dira.

Angalia ilivyoboresha benchi lake la Ufundi na kusajili utagundua kuna kitu wanatafuta na watakipata Muda utaongea.
 
Mbona umeandika kama mtu mwenye kiungulia,vidonda vya tumbo,maumivu ya tumbo,upo period, Una uchungu, wivu,chuki,husda,fitina na roho mbaya. Unateseka ukiwa wapi Yanga mwenzangu? Wanapofanya vizuri watu pongeza yule dada yupo smart. Ameiweka simba katika ramani ya dunia kwa sasa. Huyu dada ni vwey smart kwa kweli. Very smart na hata nashindwa elewa amewezaje jiongeza kwa haraka hivi.
 
Mbona tumetangaziwa Didier Gomes da Rosa? Ndo yupi kati ya hawa uliotaja Mkuu.View attachment 1685041
Kuna Watu Tanzania hii ni Mahayawani ( Wapumbavu ) hadi mnakera. Nimeelezea vyema tu hapo juu kuwa ni Kocha wa El Merreikh ya Sudan na tena nikasema ni jana tu ndiyo amevunja nayo Mkataba sasa nilichokosea ni wapi? Na bahati nzuri niliyemlenga ndiyo huyu huyu na kama umeona tofauti hapo ya majina lilikuwa ni jukumu lako kulihakiki ila Mimi huko nilikolitoa anaitwa kama nilivyolitaja hapo juu ila kama Yeye kaamua kuyaongezea ni hiyari yake. Pitia hata Google utakutana na Jina hilo ambalo nimeliandika japo kwingine wanalitaja hili alilotumia leo.
 
Kichwani upo sawa kweli? Mbona unaropokwa wakati mwenzio kauliza vizuri tu?
 
Kichwani upo sawa kweli? Mbona unaropokwa wakati mwenzio kauliza vizuri tu?
Ungana nae tu katika Upumbavu ( Uhayawani ) wake kwani kama anaweza Ku Google angeweza Kujiridhisha zaidi kwa Majina kuliko Kunisumbua.
 
Yote uliyotaja hayapo isipokua wamewaletea Dada Roza
 
Yote uliyotaja hayapo isipokua wamewaletea Dada Roza
Nadhan alilenga huyo number mbili, sababu ni hizi
1) Raia wa Ufaransa,
2) Alikua kocha mkuu wa El Mereikh.

Sasa majina ni issue ingine
 
Hatimaye kocha amepatikana na anaitwa Rozi, sasa tucheze mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…