Kuna uwezekano mkubwa kwa Shiza Kichuya kutua Msimbazi msimu huu

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Kutoka kwenye ukurasa rasmi wa Simba Sports Club wameuliza swali la "NI MCHEZAJI GANI AMEWAHI KUCHEZA SIMBA UNATAMANI TENA KUMUONA AKIWA MSIMBAZI?"

ikifuatiwa na Picha kumi za Wachezaji waliowahi kung'aa na timu hiyo kwa mafanikio makubwa akiwemo OKWI, KAGERE, FRAGA na wengine wengi lakini kwa tuliosoma pale CHINI YA MITI YA MIEMBE jicho letu limetua kwa KICHUYA asiyechuja ndani ya Ligi Kuu TANZANIA BARA akiwa na WAUAJI WA KUSINI.
 
Duuh umaskini wa kifikra ni mbaya sana.
Nauchukia umaskini huu
 
Most underrated player in NBC premier league
 
Ndemla ana uwezo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…