Kuna uwezekano mkubwa kwa Shiza Kichuya kutua Msimbazi msimu huu

Kuna uwezekano mkubwa kwa Shiza Kichuya kutua Msimbazi msimu huu

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Kutoka kwenye ukurasa rasmi wa Simba Sports Club wameuliza swali la "NI MCHEZAJI GANI AMEWAHI KUCHEZA SIMBA UNATAMANI TENA KUMUONA AKIWA MSIMBAZI?"

ikifuatiwa na Picha kumi za Wachezaji waliowahi kung'aa na timu hiyo kwa mafanikio makubwa akiwemo OKWI, KAGERE, FRAGA na wengine wengi lakini kwa tuliosoma pale CHINI YA MITI YA MIEMBE jicho letu limetua kwa KICHUYA asiyechuja ndani ya Ligi Kuu TANZANIA BARA akiwa na WAUAJI WA KUSINI.
 
Duuh umaskini wa kifikra ni mbaya sana.
Nauchukia umaskini huu
 
Most underrated player in NBC premier league
 
F0sJD7tXoAYloae.jpg
 
Nilmlilia sana huyu wakati anapelekwa kwa mkopo sikutaka.

Kuna muda huwa nashindwa kujua nyuma ya pazia kuna nini,Simba kuna mchezo wa kuwaondoa wachezaji wenye uwezo.hii imekaaje?
Duchu-mkopo.
Ndemla.
Kahata.
Dunkan Nyoni.
Chikwende.
Gyan.
Kakolanya.
Ndemla ana uwezo?
 
Back
Top Bottom