Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Hizi kashikashi zilizoanza kabla ya wakati wa kampeni, wakati wa kampeni ,baada ya kampeni, maandamano ,kukipambania chama cha mapinduzi nk bila shaka jamaa wameingiza mpunga wa kutosha kupitia vifuta jasho vya hapa na pale visivyo kauka.
Nguvu inayotumika kudhibiti maandamano si kitoto hivyo lazima kuna fungu wanapata kutoka serikalini ili wapate motisha zaidi.
Lakini siku zote pesa inayopatikana kupitia kuvujwa kwa damu kwa mwingine huwa na laana na ni ngumu kuifurahia pesa hiyo ,damu ya mtu mnyonge huwa haiendi bure.