Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Piere Konki Liquid kuna uwezekano mkubwa akawa sio mzima huyu.
Hivi inawezekana kweli mwanaume rijali ukawa na miaka 42 huna mke, demu wala mchumba, hata wale wanawake wanaojiuza hujawahi kuonekana nao?.
Vilevile ukichunguza kwa makini jamaa anakunywa sana bia kila siku na miongoni mwa vitu vinasababisha upungufu wa nguvu za kiume ni unywaji sana wa bia .
Kama ingekuwa shida ni pesa jamaa hivi vi mia mbili mia tatu anashika sana kwa hiyo isingekuwa ngumu kwake kuhudumia mke.