Kuna uwezekano mkubwa Piere mzee wa Liquid sio mzima

Kuna uwezekano mkubwa Piere mzee wa Liquid sio mzima

Haya wabongo na umaarufu wetu wa kipumbavu.
Mtu huna mbele wa nyuma wala lolote la maana kwenye jamii lakin na ww ynakua star huku maisha tu shida ..!!!...
Itatuchukua miaka mingi sana kufika tunapotakiwa
 
Piere Konki Liquid kuna uwezekano mkubwa akawa sio mzima huyu.

Hivi inawezekana kweli mwanaume rijali ukawa na miaka 42 huna mke, demu wala mchumba, hata wale wanawake wanaojiuza hujawahi kuonekana nao?.

Vilevile ukichunguza kwa makini jamaa anakunywa sana bia kila siku na miongoni mwa vitu vinasababisha upungufu wa nguvu za kiume ni unywaji sana wa bia .


Kama ingekuwa shida ni pesa jamaa hivi vi mia mbili mia tatu anashika sana kwa hiyo isingekuwa ngumu kwake kuhudumia mke.


View attachment 1045333
Umesahau kwamba mademu hawapendi watu wafupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hata wew hance mtanashati inawezekana sio mzma,

Hivi mwanaume rijali unakuaje top kweny kupost ubuyu humu jf unashindana na wakina warumi,

Yani kwa udaku mkuu humu ndani hakuna anaekupata labda warumi[emoji23]

Point hapa mkuu usi judge watu kwa wanavyo ishi au kuonekana...tukisema tufanye hivyo basi tunaanza na wewe..



Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Quoted
 
Sifaidiki chochote ila nimetoa mtazamo wangu kwa jinsi ninavyoona.
yawezekana hata wewe usingeweka fake ID watu wangejua mapungufu yako kibao....rule nzuri ya maisha ni kwamba personal life ya mtu ...iache ibaki kwake haikuhusu...coz angekuwa ameweka mahusiano yake wazi na hana mtoto ungekuja na mada kwamba hawezi zalisha....anyway mwanaume hutakiwi kuwa na style za kufuatilia maisha ya mtu
 
Back
Top Bottom