Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hana hata demu wa kusingiziwa na umri umeshasonga sana, ukijumlisha na unywaji wa mipombe uliopindukia bila shaka utakuwa umeshapata jibu.sio kila mtu kaumbiwa ndoa..
unataka kusema akivuta demu getho kwake awe anajirekodi pia na kupost ili wewe uone ana demu..
Hana demu hata wa kusingiziwa na umri umeshasonga sana, ukijumlisha na unywaji wa mipombe uliopindukia bila shaka utakuwa umeshapata jibu.
maisha ya kiundani kivipi?wewe ni nani yake? hadi umjue kiundani .. maisha yake ya binafsi
Si bure mtoa mada kuna la zaidi anahitaji. Akihisi huyo Pierre yumo humu atamjibu kwa kumwambia aende akamuonyesha kama ana dosari na hapo dhamira ya mtoa mada kutimia kwa kuliwa kibogo na Bw. Konki Liquid. Mtoto wa kiume kuulizia kudisa kwa mwanaume mwenzio ni dhahiri kuna shaka juu ya uanaume wako pia.
Kama unahisi hili ni povu basi sina shaka na wewe pia una vinasaba kama vya muanzisha mada.
Tafuta uzi wa huyo Dr Shikamoo ukaulizie huko, humu tunamjadili PiereeeeHivi Dr shikamoo yupo?
Nenda katest kumpa papa au kalio then utuletew majibu hapaPiere Konki Liquid kuna uwezekano mkubwa akawa sio mzima huyu.
Hivi inawezekana kweli mwanaume rijali ukawa na miaka 42 huna mke, demu wala mchumba, hata wale wanawake wanaojiuza hujawahi kuonekana nao?.
Vilevile ukichunguza kwa makini jamaa anakunywa sana bia kila siku na miongoni mwa vitu vinasababisha upungufu wa nguvu za kiume ni unywaji sana wa bia .
Kama ingekuwa shida ni pesa jamaa hivi vi mia mbili mia tatu anashika sana kwa hiyo isingekuwa ngumu kwake kuhudumia mke.
View attachment 1045333
Wewe jamaa nilishakwambia, jifunze ku balance shobo, USINIZOEENenda katest kumpa papa au kalio then utuletew majibu hapa
Piere Konki Liquid kuna uwezekano mkubwa akawa sio mzima huyu.
Hivi inawezekana kweli mwanaume rijali ukawa na miaka 42 huna mke, demu wala mchumba, hata wale wanawake wanaojiuza hujawahi kuonekana nao?.
Vilevile ukichunguza kwa makini jamaa anakunywa sana bia kila siku na miongoni mwa vitu vinasababisha upungufu wa nguvu za kiume ni unywaji sana wa bia .
Kama ingekuwa shida ni pesa jamaa hivi vi mia mbili mia tatu anashika sana kwa hiyo isingekuwa ngumu kwake kuhudumia mke.
View attachment 1045333
Sijakuelewa mkuu, funguka zaidi.Si unajua watu wafupi mazali machache
Sifaidiki chochote ila nimetoa mtazamo wangu kwa jinsi ninavyoona.Sijui binadam tukoje. Kwani yeye akioa au asipooa unafaidika na chochote?
Kwani ulishamsikia akilalamika? Hivi maisha yake yanakuhusu nini wewe?