Hana hata demu wa kusingiziwa na umri umeshasonga sana, ukijumlisha na unywaji wa mipombe uliopindukia bila shaka utakuwa umeshapata jibu.
Dr Pimbi alikuwa anakaribia kabisa kwenye 18 ndio ishu inabumburuka.acha ale bata, unajua Dr Pimbi hakuwahi kupata demu katika mitoongozo yake yote
Sure, mleta mada is not sober!Nahisi kuna tatizo hapa
mleta mada au Pierre
Umesahau kwamba mademu hawapendi watu wafupiPiere Konki Liquid kuna uwezekano mkubwa akawa sio mzima huyu.
Hivi inawezekana kweli mwanaume rijali ukawa na miaka 42 huna mke, demu wala mchumba, hata wale wanawake wanaojiuza hujawahi kuonekana nao?.
Vilevile ukichunguza kwa makini jamaa anakunywa sana bia kila siku na miongoni mwa vitu vinasababisha upungufu wa nguvu za kiume ni unywaji sana wa bia .
Kama ingekuwa shida ni pesa jamaa hivi vi mia mbili mia tatu anashika sana kwa hiyo isingekuwa ngumu kwake kuhudumia mke.
View attachment 1045333
QuotedIla hata wew hance mtanashati inawezekana sio mzma,
Hivi mwanaume rijali unakuaje top kweny kupost ubuyu humu jf unashindana na wakina warumi,
Yani kwa udaku mkuu humu ndani hakuna anaekupata labda warumi[emoji23]
Point hapa mkuu usi judge watu kwa wanavyo ishi au kuonekana...tukisema tufanye hivyo basi tunaanza na wewe..
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
yawezekana hata wewe usingeweka fake ID watu wangejua mapungufu yako kibao....rule nzuri ya maisha ni kwamba personal life ya mtu ...iache ibaki kwake haikuhusu...coz angekuwa ameweka mahusiano yake wazi na hana mtoto ungekuja na mada kwamba hawezi zalisha....anyway mwanaume hutakiwi kuwa na style za kufuatilia maisha ya mtuSifaidiki chochote ila nimetoa mtazamo wangu kwa jinsi ninavyoona.