Viwanja hivyo wanadai ni Mali ya C. C. MUle wa dodoma upo 2% hadi sasa, wa Arusha wamesema upo kwenye 75%.
Mimi kuna mambo mawili matatu najiuliza, viwanja kama CCM Kirumba, kile cha Arusha cha siku zote etc ni kwanini visifanyiwe maboresho vikawa vya kisasa zaidi kuliko kujenga vipya kwa gharama kubwa sana?
Au hizo tenda za viwanja vipya kuna 10% za watu?
Tender za AbduliUle wa dodoma upo 2% hadi sasa, wa Arusha wamesema upo kwenye 75%.
Mimi kuna mambo mawili matatu najiuliza, viwanja kama CCM Kirumba, kile cha Arusha cha siku zote etc ni kwanini visifanyiwe maboresho vikawa vya kisasa zaidi kuliko kujenga vipya kwa gharama kubwa sana?
Au hizo tenda za viwanja vipya kuna 10% za watu?
CCM wamejimilikisha hivyo viwanja. Kama Serikali ikivikarabati labda pia wavitaifishe ili viwe mali ya umma.Mimi kuna mambo mawili matatu najiuliza, viwanja kama CCM Kirumba, kile cha Arusha
Hivyo ulivyovitaja ni viwanja vya CCM. Unataka pesa za walipa kodi zitumike kuboreshea viwanja binafsi?Ule wa dodoma upo 2% hadi sasa, wa Arusha wamesema upo kwenye 75%.
Mimi kuna mambo mawili matatu najiuliza, viwanja kama CCM Kirumba, kile cha Arusha cha siku zote etc ni kwanini visifanyiwe maboresho vikawa vya kisasa zaidi kuliko kujenga vipya kwa gharama kubwa sana?
Au hizo tenda za viwanja vipya kuna 10% za watu?
Serikali imeundwa na The greens. Haiwezi kutaifisha mali zinazomilikiwa na The Greens.CCM wamejimilikisha hivyo viwanja. Kama Serikali ikivikarabati labda pia wavitaifishe ili viwe mali ya umma.
Vinginevyo watakuwa wanawafanyia hisani CCM
Saaana mkuu, hovyo kabisa hawa.Mbogamboga ni chanzo cha matatizo mengi nchini.
Samia akipokwa kuandaa Afcon itakuwa bomba sanaKenya wamejenga viwanja vya Kisasa hasa ule wa Raila Odinga Stadium
Uganda wamejenga uwanja vikubwa na vya kisasa kabisa
Sisi Tanganyika viwanja vizuri vinajengea Zanzibar Kwa fedha za Tanganyika
Huku Tanganyika tupo kama mazuzu,
Uwanja wa Arusha hadi Leo Bado
Uwanja wa Dodoma Bado
Tukumbuke Rwanda halali ana viwanja vikubwa na anajua laZima Tanganyika atanyanganywa
View attachment 3542045
Kwa TZ viwanja vitakavyohusika kwa michezo ya afcon ni SAMIA, MKAPA NA AMAN TU, huo wa DODOMA auhusiki na afcon na hata kujengwa sidhani kama washaanza.Ule wa dodoma upo 2% hadi sasa, wa Arusha wamesema upo kwenye 75%.