Project ya Uwanja wa dodoma ilianza tangu 2016 sijui 2019, hata idea ya Uwanja wa Samia haikuwepo.Kwa TZ viwanja vitakavyohusika kwa michezo ya afcon ni SAMIA, MKAPA NA AMAN TU, huo wa DODOMA auhusiki na afcon na hata kujengwa sidhani kama washaanza.
Juzi Msigwa anasema project ya uwanja wa dodoma ipo katika 2%.