Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,809
- 6,948
Bila juhudi za kweli, za dhati na makusudi kuleta suluhisho la kudumu ndani ya Tanzania, kuna uwezekano mkubwa wa Tanzania kupoteza uenyeji wa AFCON 2027.
Wanaharakati wanaendelea na juhudi za kupush uwajibikaji katika matukio yaliyotokea kwenye MO29 na naona kama mwakani ndiyo hizi juhudi zitashika kasi sana.
Kuna uwezekano mkubwa pia kuwa serikali ya Tanzania inapanga kutumia mashindano hayo kujisafisha kutokana na tuhuma na kashfa hizo, na sioni kama wanaharakati wa jumuiya ya kimataifa itakubali kuona hilo linatokea.