Kwani kipi kinawashinda kufanya hayo maandamano sasa hivi.Si mlidai ni maandamano ya kudumu.Talking is cheap.Kuelekea mashindano hayo inatakiwa wanaanchi tupange kufanya maandamano makubwa kama mchakato wa katiba mpya hujaanza na uwajibishwaji kwa viongozi waliofanya mauaji. Kuwe na maandamano makubwa kwenye miji yote kutakakofanyika mashindano hayo ya AFCON.
Kwa sasa hatuna silaha, ila wakati wa michuano ya AFCON silaha zetu itakuwa wageni watakaofika. Lazima tufike mahali tuheshimiane.Kwani kipi kinawashinda kufanya hayo maandamano sasa hivi.Si mlidai ni maandamano ya kudumu.Talking is cheap.
Hizo ni kelele tu.Si mchome miundo mbinu na biashara za watu halafu muone kama mtachekewa.Mlidekezwa sana no more.Kwa sasa hatuna silaha, ila wakati wa michuano ya AFCON silaha zetu itakuwa wageni watakaofika. Lazima tufike mahali tuheshimiane.
Hatufanyi kwa maagizo yako tunafanya kwa mipango yetu. Mlichekewa sana hadi mkadhani mnaweza kuendelea kuchezea chaguzi za nchi. Tutafanya maandamano wakati huo ili tuheshimiane. Ukitaka kuandamana sasa, andamana ww kimpango wako.Hizo ni kelele tu.Si mchome miundo mbinu na biashara za watu halafu muone kama mtachekewa.Mlidekezwa sana no more.
kwani Nani alidekezwa, na Kwa namna ipi tena?Hizo ni kelele tu.Si mchome miundo mbinu na biashara za watu halafu muone kama mtachekewa.Mlidekezwa sana no more.
Ulitakiwa kuishi zama za giza, zama za wajinga, zama za wasiojitambua.Hizo ni kelele tu.Si mchome miundo mbinu na biashara za watu halafu muone kama mtachekewa.Mlidekezwa sana no more.
Kuna mwandishi wa Ivory Coast amemuuliza Motsepe swali hilo la miundombinu na barabara mbovu. Watu wamemshambulia ila ukweli ni kwamba sisi bado saaana. Hata uwanja wa Dodoma ambao kwanza haukupaswa kujengwa kule hausikii lolote, sijui umeishia wapi. Uwanja wa Mkapa ndiyo huo pesa zinamwagwa tu kila uchao.Barabara za Arusha zilivyombovu sijui hao watu watapita wapi. Kunakojengwa uwanja barabara ni ya vumbi. Barabara za ndani ya jiji ni mbovu na mji ni mchafu umetapataa vibanda kila sehemu.
Aibu hii sijui tutajificha wapi