Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
How is natural movement of tectonic plates go to do with Kenyans wanting to join with Tanzania? Alafu tukimwaambia masomo yenu ni ovyo mnaona tunawachokoza. 🤣 🤣Hivi karibuni, Kenya wameonekana wakiimega Tanzania kutoka bara la Afrika na kuanzisha bara jipya ambalo linahusisha Kenya na Tanzania.
Taarifa nyingi zinaonesha matamanio makubwa ya Kenya kuwa sehemu ya Tanzania.
Je, muungano wa Kenya na Tanzania ni jambo linalowezekana? Wacha muda uongee.
View attachment 2524803View attachment 2524805
Can't you see the relation ?How is natural movement of tectonic plates go to do with Kenyans wanting to join with Tanzania? Alafu tukimwaambia masomo yenu ni ovyo mnaona tunawachokoza. [emoji1787] [emoji1787]
Kwani tukiungana wewe unaona siyo vizuri rafiki.How is natural movement of tectonic plates go to do with Kenyans wanting to join with Tanzania? Alafu tukimwaambia masomo yenu ni ovyo mnaona tunawachokoza. [emoji1787] [emoji1787]
'Kenyans wanting' is the keyword son.Can't you see the relation ?
If the theory is correct, Tanzania will be the only country surrounded by the Indian ocean on its southern, eastern and western border which makes it extremely vital economically / militarily.
I will not be surprised if any nation from East Africa will be attracted to unite with Tanzania and form a dominant juggernaut
That was not the point.Kwani tukiungana wewe unaona siyo vizuri rafiki.
Don't they ?'Kenyans wanting' is the keyword son.
Inaitwa lugha gongana budaboss. Hii ndio ile sampuli ya watu ambao huwa wananunua magazeti kadhaa, kwa mpigo, ili watizame tizame picha. Yaani kama 'alupamu'. 😄How is natural movement of tectonic plates go to do with Kenyans wanting to join with Tanzania? Alafu tukimwaambia masomo yenu ni ovyo mnaona tunawachokoza. 🤣 🤣
Aaah wapi, Mwalimu Nyerere mwenyewe alikuwa na ndoto za mchana kama hizo. Hadi alikuwa tayari kukubali mkoloni aendelee kuitawala Tanganyika. Wakati wakenya walikuwa wakimwaga damu wakipigana uhuru wa nchi yao.Don't they ?
Read to understand.Don't they ?
How is natural movement of tectonic plates go to do with Kenyans wanting to join with Tanzania? Alafu tukimwaambia masomo yenu ni ovyo mnaona tunawachokoza. 🤣 🤣
Aaah wapi, Mwalimu Nyerere mwenyewe alikuwa na ndoto za mchana kama hizo. Hadi alikuwa tayari kukubali mkoloni aendelee kuitawala Tanganyika. Wakati wakenya walikuwa wakimwaga damu wakipigana uhuru wa nchi yao.
Eti ndio tupate uhuru kwa pamoja tukiwa tumeungana kama nchi moja. Ila Mzee Jomo akakataa na ndio chanzo cha bifu kati ya Kenya na Tz, ambayo imedumu hadi enzi hizi.
Mzee Jomo alifanya jambo la busara sana. Sasa hivi tungekuwa sote tupo kwenye kikapu kimoja, tukiendeleza ujamaa maandazi na kugeuzwa kuwa maiti(kama alivyosema Jomo Kenyatta, enzi hizo, kuhusu watanganyika).
Kosa linakuja ukisema miaka 50000 kwenda mbele ndio itatokea ilo.
Lazima kuambiwa chai au muongo.tanzania toka lini ikakubari sayansi.ugonjwa wa uviko tu umeona na chanjo kujifanya ndio wanajua kuliko wazungu.