Kuna uwezekano na fahari yoyote kuto katika 50s?

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
Mada hapo juu yahusika.

Upo kwenye 40s, hakuna nyumba, hakuna gari, hakuna shamba lililosimama, miradi imeanguka.

Ukiangalia salary slip, viraka kibao mpaka haishoneki tena, taasisi zinakimbizana kuchuma.

Mpaka kiraka cha mwisho kinatoka ni miaka kama 6 hivi mbele na hapo, kama kila kitu kitakuwa kama kilivyo sasa, ndo angalau mlango unaweza kufunguka na kuambulia angalau 30m kutoka katika moja ya taasisi. Hako ka30m, ndiyo kutoka kwenyewe

Ninakokuzungumza na hapo tayari upo kwenye 50s!

Kwenu wadau......
 
[emoji470]
Screenshot_20220801-013009.jpg
 
Hakuna umri halisi wa kutoka kimaisha mkuu pambana .
 
Back
Top Bottom