Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
How does it work?Miaka ya 2009 bitcoin zilikuwa zinapatikana bure au hazina thamani yoyote. Leo bitcoin moja ni zaidi ya milion 200 , kuna hii currency ambayo bado haijazinduliwa je kuna uwezekano ikaja kutisha baada ya miaka 15 ijayo kama ilivyofanya bitcon? Wataalam wa sarafu za kidigital mnaweza kuzungumza hapa
HahaSubir tarehe 20 boss utajua kuwa Pi ndio baba lao huku duniani.
Picha linaanza pi ni maarufu kuliko crypto nyingi sana ambazo tayari zipo kwenye market
Ngoja tuskilizie mkuuSubir tarehe 20 boss utajua kuwa Pi ndio baba lao huku duniani.
Picha linaanza pi ni maarufu kuliko crypto nyingi sana ambazo tayari zipo kwenye market
Unafananisha BTC na Aviator mkuu ?Miaka ya 2009 bitcoin zilikuwa zinapatikana bure au hazina thamani yoyote. Leo bitcoin moja ni zaidi ya milion 200 , kuna hii currency ambayo bado haijazinduliwa je kuna uwezekano ikaja kutisha baada ya miaka 15 ijayo kama ilivyofanya bitcon? Wataalam wa sarafu za kidigital mnaweza kuzungumza hapa
Mkuu Kama huku mine pi basi itakushangaza kwani wenzio tunaenda kuwa ma milllionaire soon...hakika mvumilivu hula mbivu.Unafananisha BTC na Aviator mkuu ?
Kweli kazi ipo
Acha kuonyesha ujinga wako hadharani kijanaMkuu Kama huku mine pi basi itakushangaza kwani wenzio tunaenda kuwa ma milllionaire soon...hakika mvumilivu hula mbivu.
Sawa future millionaire, endeleeni kupoteza muda na pyramid/ Ponzi scheme hizo.Mkuu Kama huku mine pi basi itakushangaza kwani wenzio tunaenda kuwa ma milllionaire soon...hakika mvumilivu hula mbivu.
Tatizo la hizi Ponzi scheme mnakazaga vichwa kwasabu mnapata pi nyingi kwenye kureferal watu, kwahiyo Kwa akili zenu mnafikiri tuna waharibia soko wakati tunawaambia ukweli.Mkuu Kama huku mine pi basi itakushangaza kwani wenzio tunaenda kuwa ma milllionaire soon...hakika mvumilivu hula mbivu.
Tarehe 20 sio mbali mkuuTatizo la hizi Ponzi scheme mnakazaga vichwa kwasabu mnapata pi nyingi kwenye kureferal watu, kwahiyo Kwa akili zenu mnafikiri tuna waharibia soko wakati tunawaambia ukweli.
Tukutane tarehe 20
Mvumilivu umevumilia nini?🤣🤣 Vipi ingekua ni ya kununuaMkuu Kama huku mine pi basi itakushangaza kwani wenzio tunaenda kuwa ma milllionaire soon...hakika mvumilivu hula mbivu.
Tulia mkuu ulitaka ianze na thamani gani?Mi nilivyoona soko la mwanjelwa eti unaweza ukanunua ndizi kwa Pi , nikajua tu hapa hamna kitu!
Ngoja inyeshe tuone panapovuja mkuuTulia mkuu ulitaka ianze na thamani gani?