Kuna uwezekano Pi network ikaja kuqa kama bitcoin?

Kuna uwezekano Pi network ikaja kuqa kama bitcoin?

Umeuza kwa bei gani?
1000266526.png
 
Sidhani kama itaifikia Bitcoin sababu hii Pi ina watu wengi alafu wote wanaisikilizia nikiwemo mimi
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜€๐Ÿ˜„๐Ÿ˜ƒHata ukifika $10,na unazo 100 hauna hasara mkuu.............unashangaa after 5th Bitcoin halving Pi moja unauzwa zaidi ya $100
 
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜€๐Ÿ˜„๐Ÿ˜ƒHata ukifika $10,na unazo 100 hauna hasara mkuu.............unashangaa after 5th Bitcoin halving Pi moja unauzwa zaidi ya $100
Ni kweli hatuna hasara ila mbona Pi haifiki hata dollar 1
 
Ni kweli hatuna hasara ila mbona Pi haifiki hata dollar 1
Kuna mambo mawili,either hufatilii mambo=wewe ni mjinga,au wewe ni mpumbavu. Kua mjinga sio vibaya maana Kuna room ya kujifunza.
Tunavoongea sasa hivi Pi Moja ni $1.48 wewe unasema Mbona Pi haijafika $1,๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†Je wewe sio mpumbavu?
 
Attachments

  • Screenshot_20250223-211242.png
    Screenshot_20250223-211242.png
    122 KB · Views: 4
Kuna mambo mawili,either hufatilii mambo=wewe ni mjinga,au wewe ni mpumbavu. Kua mjinga sio vibaya maana Kuna room ya kujifunza.
Tunavoongea sasa hivi Pi Moja ni $1.48 wewe unasema Mbona Pi haijafika $1,๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†Je wewe sio mpumbavu?
Wewe unaangalia wapi? Mimi nikigoogle inaonesha pi1 ni sawa na Tsh 5
 
Wewe unaangalia wapi? Mimi nikigoogle inaonesha pi1 ni sawa na Tsh 5

Wewe unaangalia wapi? Mimi nikigoogle inaonesha pi1 ni sawa na Tsh 5
Ukifanikiwa kua na watoto wafundishe hivi:-
Kama kitu hakijui,asisite kuuliza,maana maarifa yapo kwenye vichwa vya watu wengine.
Kinyume chake anageuka mpumbavu=mtu asiyejua,akaelekezwa bado akaendelea kujifanya anajua kitu/"fact"isiyo sahihi.
Imagine unakua na rais,waziri,mbunge mwenye mentality ya kubisha ukweli ambao upo dhahili kwenye vitabu,blogs,internet etc
Pi coins kama ilivo cryptocurreencies nyingine zozote zile Bei yake inaoneshwa in real time at:-
1.Coinmarkercap.com
2.Coingeko
3.Coinbase
4.Binance
Kuna exchanges zimelist Pi, hapa watu wanauza na kununua ambazo ni:-
1.OKX
2.gate.io
3.Bitget
4.MEXC
5.Bitmart
6.CoinW
2015 Kuna wapumbavu walibisha hivo hivo Bitcoin haiwezi kwenda popote,leo ipo $95000,
Pi hata kama haitoweza kua kama Bitcoin,ikitokea imefika $0,$20,30,70 ama 100,hakuna mtu aliyemine atapoteza chochote.
Ni Bora mtu mwaka 2015 angetumia 2M Tsh kumiliki 2 Bitcoin Leo hii angekua ameuaga umasikini na hata kama Bitcoin ingekua $0,huyo mtu asingekua masikini zaidi sababu tu kapoteza 2M tsh,....................ni risk reward ratio,unapima.............hakuna mtu anayejua Pi itakuaje,hayupo........na hapa ndio unakuta wale waliogoma kuchimba wakiamini utapeli wanaumia kuona Pi iliyochimbwa Bure Leo inauzwa $1.5=4,000/=๐Ÿ˜€๐Ÿ˜†๐Ÿ˜…
Wewe unaangalia wapi? Mimi nikigoogle inaonesha pi1 ni sawa na Tsh 5
 
Ukifanikiwa kua na watoto wafundishe hivi:-
Kama kitu hakijui,asisite kuuliza,maana maarifa yapo kwenye vichwa wa watu wengine.
Kinyima chake anageuka mpumbavu=mtu asiyeju,akaelekezwa bado akaendelea kujifanya anajua kitu/"fact"isiyo sahihi.
Imagine unakua na rais,waziri,mbunge mwenye mentality ya kubisha ukwei ambao upon dhahili kwenye vitabu,blogs,internet etc
Pi coins kama ilivo crypocurreencies nyinginze zozote zile Bei yake inaoneshwa in real time at:-
1.Coinmarkercap.com
2.Coingeko
3.Coinbase
4.Binance
Kuna exchanges zimelist Pi,ambazo ni:-
1.OKX
2.gate.io
3.Bitget
4.MEXC
5.Bitmart
6.CoinW
2015 Kuna wapumbavy walibisha hivo hivo Bitcoin haiwezi kwensa popote,leo ipo $95000,
Pi hata kama haitoweza kua kama Bitcoin,ikitokea imefika $20,30,70ama 100,hakuna mtu atayepoteza chochote,.
Ni Bora mtu mwaka 2015 angetumi 2M Tsh kumiliki 2 Bitcoin Leo hii angekua ameuaga umasikini na hata kama Bitcoin ingekua $0,huyo mtu asingekua masikini zaidi sababu kapoteza 2M tsh,....................ni risk reward ratio,unapima.............hakuna mtu aanyejua Pi itakuaje,hayupo,........na hapa ndio unakuta wale waliogoma kuchimba wakiamini utapeli wanaumia kuona Pi iliyochimbwa Bure Leo inauzwa $1.5=4,000/=
Sema una hasira sana mkuu, kulikoni?
 
Sema una hasira sana mkuu, kulikoni?
Sina hasira,nimekuelimisha nje ndani jinsi ya kudeal na issues usije tia aibu sehemu nyingine.
mtu yeyote mwenye akili ataona logic
Mpumbavu anaweza sema nina hasira,ama atakuja kubisha kwa mawazo yake,bila kuweka "reference" yeyote ile,baada ya kuchota maarifa yaende yamsaidie,jitahidi usiwe kama hao,๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Sawa boss, lakini unakumbuka mpumbavu ni mtu ambaye hata umfundishe vipi hafundishiki?

Bora uniite mjinga tutaelewana ila mpumbavu ni kama kapu la kubebea maji wakati tunajua kapu haliwezi kubeba maji
 
Mzigo unapanda mlima mdogo mdogo,,, ambao hamkuchimba mtulie sindano isije ikakatikia takoni.
Nakukumbusheni tu, hiyo msije mkategemea itarudi chini ya 1$ kwasasa hiyo kwa sasa inaitafuta 10$ na ikishafika 10$ ndio ngoma nitolee mtashangaa imefika 314$. Hii Coin imetengenezwa na vipanga wa Hii dunia.
Screenshot_20250224-062539_Chrome.jpg
 
Muda ni mwalimu mzuri,ni kweli Pi coin haifiki hata $1
 
Attachments

  • Screenshot_20250304-205747.png
    Screenshot_20250304-205747.png
    154.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250305-124233.png
    Screenshot_20250305-124233.png
    117.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom