Kuna uwezekano TRA idara ya Ushuru na Forodha wanamhujumu Rais Samia

Kuna uwezekano TRA idara ya Ushuru na Forodha wanamhujumu Rais Samia

Kwa nini unasema wanamuhujumu mama badala ya wanahujumu nchi?
Inawezekana vipi toka asubuhi mpaka saa 10 hii mifumo ya TRA ya kulipia kodi haifanyi kazi? Hakuna uwezekano kwamba wanamhujumu mama?
 
Hili neno kuhujumu mida wake wa kulitumia ushapita. Kawaweka wapo ambao anawaamini na watamsaidia kazi.
Tena TRA ndio ilikua ya kwanza kuweka uongozi mpya.
Tafuta neno jingine
 
Inawezekana vipi toka asubuhi mpaka saa 10 hii mifumo ya TRA ya kulipia kodi haifanyi kazi? Hakuna uwezekano kwamba wanamhujumu mama?Lini Serikali itakuja na utaratibu mzuri wa kupokea taarifa kama hizi na kuzifanyia kazi.

Inawezekana vipi toka asubuhi mpaka saa 10 hii mifumo ya TRA ya kulipia kodi haifanyi kazi? Hakuna uwezekano kwamba wanamhujumu mama?
Lini serikali itakuja na mfumo wa kupokea taarifa kutoka kwa raia wema na kuzitolea ufafanuzi. Yapo mashirika ambayo yamefanya utaratibu huu na kwa asilimia nzuri matatizo mengi yanayofika kwa njia ya wazi yanafanyiwa kazi.

Kwa mambo kama haya ambayo kimsingi yanaikosesha serikali fedha kupitia kodi ambazo ndio tegemeo kwa ajili ya kutupa huduma, hatutakiwi kuwa wapole.

Platform zipo nin nyingi kuanzia twitter hadi website ambazo walitakiwa kufungua kwa nia moja tu ya kupokea malalamiko na kutoa majibu. Maana kwa kweli wapo wanaozembea na mwisho wa siku serikali itaonekana kutojali.
 
Mtoa hoja hana ushahidi (data) wa tuhuma zake (No research keep your mouth shut).
 
Hivi utamuhujumu aliyekupa ulaji kweli..alphayo kidata aliwahi kuwa kamishina general wa TRA hata wakati wa Jiwe na baadaye kuondolewa..Samia kamrejesha hapo tena..hisia zako ni kwamba kidata anamuhujumu Samia kwakuwa ni msukuma kama jiwe sio? nyie watu bwana.
 
Hata CRDB walienda down jana muda mrefu sana ...ni Suala la mifumo tu hakuna hujuma
 
Back
Top Bottom