Kuna uwezekano wa kuaply ualimu na kozi za afya

Kuna uwezekano wa kuaply ualimu na kozi za afya

cha ukweli

Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
67
Reaction score
5
kama nilivyo eleza hapo awali mchango wenu ni muhimu! kinacho hitajika ni ushauri tu kama kuna uwezekano wakuaply ualimu zen uka aply kozi za afya! santeni
 
kama nilivyo eleza hapo awali mchango wenu ni muhimu! kinacho hitajika ni ushauri tu kama kuna uwezekano wakuaply ualimu zen uka aply kozi za afya! santeni

Hueleweki mkuu..kuapply Ualimu na kozi za afya wapi,kwa ngazi gani

Kama ni TCU inawezekana,kwa maana kuna machaguo matano

Kama ni pengine sijui NACTE hapo watakuja wajuvi wakuelezee lakini jifunze kujieleza vizuri
 
Kama ni kwa NACTE yaan ngazi ya diploma au cheti Haiwezekani...!!
 
Back
Top Bottom