Kuna uwezekano wa kubadili Bajaji ya Mafuta iwe ya umeme?

Kuna uwezekano wa kubadili Bajaji ya Mafuta iwe ya umeme?

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
2,188
Reaction score
4,116
images (19).jpeg
 
Inawezekana kabisa,
lazima ubadili internal combustion engine na kuweka electric motor,controller na Battery pack,

Lazima utaondoa vitu kama engine,fuel tank,exhaust system na rejeta coz vitakua havina kazi tena,

Wataalamu wataongezea zaidi.
 
Back
Top Bottom