Kuna uwezekano wa kudukua mawasiliano ya mtu ya "sms" , "WhatsApp" na "calls"???????????

kaffir

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
595
Reaction score
387
Wakuu nauliza hivo ili nijue tu kwa nia njema. Mwenye ujuzi anifahamishe maana kuna dem nkimpgia anadai mawasiliano yetu anayasikia ex wake[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] !!!!!
 
Mmmh!mbona km wewe ndo umetegwa?!!wataka jinasuaa!!
 
Wakuu nauliza hivo ili nijue tu kwa nia njema. Mwenye ujuzi anifahamishe maana kuna dem nkimpgia anadai mawasiliano yetu anayasikia ex wake[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] !!!!!
Uwezekano upo sana kama huyo mdada aliwahi muachia simu Ex wake then jamaa akalink vitu katika account ya mrembo.... Alafu kuwa makini pia kuna askari mmoja jiji la dar kubwa alinitafuta hadi akanipata kisa tu nlikuwa natembea na Ex wake hahahahahah

Ila kuna njia ya kutoa hii kitu pia bro
 
Wala haihitaji ushike simu ya mtu,unatakiwa tu ujue namba yake au email yake,utamtumia message yenye link ,akiclick tu,tayari unaweza kuwasha mike yake remotely na kusikia maongezi yote provided yuko nayo simu
 
Nikufuate pm bro kwa maelezo zaidi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…