Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwezekano upo sana kama huyo mdada aliwahi muachia simu Ex wake then jamaa akalink vitu katika account ya mrembo.... Alafu kuwa makini pia kuna askari mmoja jiji la dar kubwa alinitafuta hadi akanipata kisa tu nlikuwa natembea na Ex wake hahahahahahWakuu nauliza hivo ili nijue tu kwa nia njema. Mwenye ujuzi anifahamishe maana kuna dem nkimpgia anadai mawasiliano yetu anayasikia ex wake[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] !!!!!
How?Wala haihitaji ushike simu ya mtu,unatakiwa tu ujue namba yake au email yake,utamtumia message yenye link ,akiclick tu,tayari unaweza kuwasha mike yake remotely na kusikia maongezi yote provided yuko nayo simu
Akikujibu unitag mkuuHow?
Nikufuate pm bro kwa maelezo zaidi mkuu?Uwezekano upo sana kama huyo mdada aliwahi muachia simu Ex wake then jamaa akalink vitu katika account ya mrembo.... Alafu kuwa makini pia kuna askari mmoja jiji la dar kubwa alinitafuta hadi akanipata kisa tu nlikuwa natembea na Ex wake hahahahahah
Ila kuna njia ya kutoa hii kitu pia bro