Kuna uwezekano wa kudukua mawasiliano ya mtu ya "sms" , "WhatsApp" na "calls"???????????

Kuna uwezekano wa kudukua mawasiliano ya mtu ya "sms" , "WhatsApp" na "calls"???????????

Uwezekano upo sana kama huyo mdada aliwahi muachia simu Ex wake then jamaa akalink vitu katika account ya mrembo.... Alafu kuwa makini pia kuna askari mmoja jiji la dar kubwa alinitafuta hadi akanipata kisa tu nlikuwa natembea na Ex wake hahahahahah

Ila kuna njia ya kutoa hii kitu pia bro
Unaitoaje mkuu?
 
Ila mnapenda kujipa kazi sana nyie.
Ndio madhara ya kukosa kazi :" kujipa kazi" ila kumbuka marekani wanaweza dukua mawasiliano popote duniani kwa sababu "za kiusalama" mi binafsi nataka nidukue mawasiliano kwa sababu hizo hapo juu.
Kuna wakati inasaidia ila usiwe na presha
.
Mfano unadukua mawasiliano mkeo akishukuru mchepuko wake ......hapo ndipo utakapojua maana ya "udukuzi"[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Usijali basi kila la kheri katika udukuaji
 
Inawezekana. Kama hujapata msaada ni pm nami ninaweza kukuelekeza cha kifanya
 
Wakuu nauliza hivo ili nijue tu kwa nia njema. Mwenye ujuzi anifahamishe maana kuna dem nkimpgia anadai mawasiliano yetu anayasikia ex wake[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] !!!!!
sasa ww kwa nini uangaike na mademu wa watu akati mademu wamejaa??
 
Back
Top Bottom