Kuna uwezekano wa kurekodi video kwenye simu huku Audio ikiendelea ku play in background?

Usije uka mrekodi tu mtu alafu akakuuliza unani rekodi ukajibu "A, A na play nyimbo"
 
Jaribu kufanya hivi play audio Then nenda kwa Camera.

Then anza kurekodi, ukianza kurekodi audio itazima.

Sasa audio ikizima wewe shusha alafu play again audio. Mambo yatakuwa poa.
 
yah, hii ajaribu.
 
Haha

Fanya hivi nenda Bank omba mikopo wakikuambia unayo nyumba Kama dhamana ingia Google download nyumba waoneshe utapata mkopo.
 
We ni jinsia gani?🤔
 
Hii wakina dada wanafanya sana huwenda wanatumia snapchat au tiktok jaribu hizo app.
snap ina ma effect ya ajabu ajabu,tiktok inatoa Logo yao, nataman app ambayo mtu akiona video hatoweza jua video imetengenezwa kwa simu..
 
Jaribu kufanya hivi play audio Then nenda kwa Camera.

Then anza kurekodi, ukianza kurekodi audio itazima.

Sasa audio ikizima wewe shusha alafu play again audio. Mambo yatakuwa poa.
Haikubali nishajaribu hiyo njia na nyingine lakn niki click camera tu Audio ina stop
 
Snapchat
Viva video

WhatsApp ila uku ume Hold simu
Ulete mrejesho tuone matokeo
Viva Video imekubali kufanya nilichokua natamani kifanyike ila shida kwasababu sijainunua naitumia kama trial ina record video ya dk 5 tu..

ila nimefurahi kuipata hii app itanisaidia hata kwa hzi dk 5 wanazotoa kufanya vitu vitu flani...
 
Asante kwa mrejesho
 
Kuna site na torrent kibao unaweza kupata premium version nje ya playstore
 
Jaribu kufanya hivi play audio Then nenda kwa Camera.

Then anza kurekodi, ukianza kurekodi audio itazima.

Sasa audio ikizima wewe shusha alafu play again audio. Mambo yatakuwa poa.
nimetest kwenye samsung yangu imekubali vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…