Kuna uwezekano wa kurekodi video kwenye simu huku Audio ikiendelea ku play in background?

Naombeni msaada ndugu zangu,natumia samsung s6 edge plus,tatizo nililo nalo ni wakati wa kirekodi video huwa natamani audio iwe ina play lakini matokeo yake nikiplay audio Nikigusa video record Ile audio ina acha kuendelea kuimba.

Hii inanifanya nashndwa kucheza huku nikijirekodi,nataka kujirekodi nikicheza na audio itoke kwenye simu na sio kwenye redio yangu ya ndani, wenye ujuzi wa namna ya kufanya ili kuniwezesha kufanya hili nitashukuru.

Asante.
Kweli mkuu
 
Ipo app maalum
 
Inawezekana mbn mi nimejaribu hii na imekubali fuata maelekezo hayo hapo juu, play audio then fungua camera yako ukianza kurecord itazima audio. Shusha toka juu kwenda chini utaiona ile audio iplay tena na mambo yatakuwa mwake.
 
Naombeni msaada ndugu zangu,natumia samsung s6 edge plus,tatizo nililo nalo ni wakati wa kirekodi video huwa natamani audio iwe ina play lakini matokeo yake nikiplay audio Nikigusa video record Ile audio ina acha kuendelea kuimba.

Hii inanifanya nashndwa kucheza huku nikijirekodi,nataka kujirekodi nikicheza na audio itoke kwenye simu na sio kwenye redio yangu ya ndani, wenye ujuzi wa namna ya kufanya ili kuniwezesha kufanya hili nitashukuru.

Asante.
App inaitwa InShot sema, Unatakiwa ujirecord video unaimba afu ndo uje uunganishe ile video na audio kupitia InShot! Zipo programs nyingi tu zinafanya hii kazi..
 
Viva Video imekubali kufanya nilichokua natamani kifanyike ila shida kwasababu sijainunua naitumia kama trial ina record video ya dk 5 tu..

ila nimefurahi kuipata hii app itanisaidia hata kwa hzi dk 5 wanazotoa kufanya vitu vitu flani...
Tumia YouCut hina logo..
 
Back
Top Bottom