Kuna Uwezekano wa kusoma kuanzia cheti ukafika Degree?

Kuna Uwezekano wa kusoma kuanzia cheti ukafika Degree?

Geofree

Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
44
Reaction score
5
WanaJF naombeni mnijulishe kama mtu anaweza kusomea cheti hadi degree baada ya kumaliza kidato cha nne, na ni kwa kozi zipi hasa.

Ikiwezekana mnipe mifano hai?
 
Kozi yeyote. Ila mueleze mapema akifika diploma lazima apate second class la sivyo is not eligible for admission into degree programmes
 
Kwa Computer Science ni vyuo gani bora kuanzia level hiyo mpaka degree?
 
My brother alianzia hatua hyo pale CBE now ana shahada yake ya I,matokeo ya O'levo alipata IV
 
Its possible,inafurahisha kuona watu wameanza kugundua hiz opportunity.
 
WanaJF naombeni mnijulishe kama mtu anaweza kusomea cheti hadi degree baada ya kumaliza kidato cha nne, na ni kwa kozi zipi hasa.

Ikiwezekana mnipe mifano hai?

Inawezekanaaa kabisaa ushindwe wewe irmrad uwe na pass zako za o'level za (d) a apply for certificate mwaka mmoja ukimaliza diploma miwil ukipasuaaa hakikisa unapata second class ukipata pass hautaaa apply via nacte utaenda moja kwa moja kwenye vyuo vinavyo offer pre entry wakupige brush ndiooo ujoin degree
 
WanaJF naombeni mnijulishe kama mtu anaweza kusomea cheti hadi degree baada ya kumaliza kidato cha nne, na ni kwa kozi zipi hasa.

Ikiwezekana mnipe mifano hai?

Inawezekana mdogo wangu...mie pia nilianza na certificate sasa hivi nipo chuo kikuu mwaka wa pili na mkopo pia ninao.
 
WanaJF naombeni mnijulishe kama mtu anaweza kusomea cheti hadi degree baada ya kumaliza kidato cha nne, na ni kwa kozi zipi hasa.

Ikiwezekana mnipe mifano hai?

Kilimo
Maendeleo ya jamii
It
Ualimu
Na nyingine nyingi
 
Njoo buguruni kuna chuo cha uandishi Wa habari (Dsj) unaanza na certificate baadae diploma ukimaliza post moja kwa moja chuo wengi nimesoma nao sahiv wana degree ya pili
 
Wapo wengi tuuu mfano pale udom kunalectre anaitwa Menda ameanza kufundisha shule ya msingi mda huu uko anamalizia PhD yake mda huuu
 
Wapo wengi tuuu mfano pale udom kunalectre anaitwa Menda ameanza kufundisha shule ya msingi mda huu uko anamalizia PhD yake mda huuu

hahaha Frank P Menda
Department of Development Studies
 
Na VP kuhusu waliopiga arts .ni vyuo gan waweza kuaply. Kwa a lama za c- kisw na zingne d kasoro geog kwa mwaka 2011
 
Na VP kuhusu waliopiga arts .ni vyuo gan waweza kuaply. Kwa a lama za c- kisw na zingne d kasoro geog kwa mwaka 2011

tembelea mtandaon chuo chochote unachokipenda kwani kila chuo kina sifa wanasohitaji..kunavingine vinahitaji uwe umefaulu masomo manne na hata kama huna vigezo unaweza kusoma foundation couse ambayo huwa ya wiki zisizo zidi 7 au 6
 
af mbona baadhi ya maprofesa wengi walianza diploma wengine cheti. ni ww tu kijana kama umeamua kusoma utafika tu
 
Back
Top Bottom