Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Wakuu habarini zetu,naombeni mawazo yenu wakuu. Demu nilitembea naye TR 3 na TR 4..na yeye siku zake za kuwa mwezini ni tarehe 28. Sasa demu ananiambia hajisikii vizuri .. Ndio nataka kujua kuwa kuna uwezekano wa mimba hapa kwa wataalamu..nilitumia mipira lakini si unajua uwezekano ni mkubwa sana tu.
tutaenda kupima manake hata yeye mwenyewe anaweza kujipima ila nilikuwa nataka kuhakiki kupitia mzunguko wa siku zake broMzee kipimo cha mimba ni very cheap...mchukue mkapime tu sio lazima iwe thread mtu wangu
nadhani tr 28 ya kila mwezi ...ila jana kaniambia atapata siku zake tarehe 28tar 28 ya mwezi gani mkuu....na ana mzunguko wa siku ngapi......?
Wakuu habarini zetu,naombeni mawazo yenu wakuu. Demu nilitembea naye TR 3 na TR 4..na yeye siku zake za kuwa mwezini ni tarehe 28. Sasa demu ananiambia hajisikii vizuri .. Ndio nataka kujua kuwa kuna uwezekano wa mimba hapa kwa wataalamu..nilitumia mipira lakini si unajua uwezekano ni mkubwa sana tu.
Kwanini hukutumia kondom, je hujui kuwa mimba ni hatari kuliko ukimwi?
nadhani tr 28 ya kila mwezi ...ila jana kaniambia atapata siku zake tarehe 28
Kwanini hukutumia kondom, je hujui kuwa mimba ni hatari kuliko ukimwi?
haiwezekani iwe kila tar 28 lazima ipite au iwahi ni mara chache sana kuwa tar hiyo hiyo....however.......hizo tar ulizommega uwezekano wa kupata haupo...lets say ilikuwa nov 28 na anakuwa kwenye hedhi siku 3 au 4, tarehe zake za danger zitakuwa tar 8 mpaka 14 au 15 then kuanzia hapo ni mteremko tena mpaka tar 26 dec ndio ataona siku zake........okaaaaay
Kwa hiyo ameamua kipimo cha mimba ni thread.Mzee kipimo cha mimba ni very cheap...mchukue mkapime tu sio lazima iwe thread mtu wangu
Kwa nini mkuu unachakachua bila kondomu!wewe ni mzembe!!acha kufanya ngono zembe,tutakupoteza mkuu!!
mbona unaweka kauzibe bana! au mshabiki wa yanga wewe?