Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Wakuu habarini zetu,naombeni mawazo yenu wakuu. Demu nilitembea naye TR 3 na TR 4..na yeye siku zake za kuwa mwezini ni tarehe 28. Sasa demu ananiambia hajisikii vizuri .. Ndio nataka kujua kuwa kuna uwezekano wa mimba hapa kwa wataalamu..nilitumia mipira lakini si unajua uwezekano ni mkubwa sana tu.