Jibu langu linaweza kuwa mbali kidogo na matarajio yako
Ila
Vumilia halafu pata point kwa mifano hii
- Google - wana monitor almost website zote duniani na kuzigrade katika search engine
Na
Zile zenye utovu wa nidhamu wanazipa adhabu ya kutoonekana ktk search yao.
Pia
Playstore yao ya app ina regulate apps nyingi
- Facebook nao wana monitor personal accounts billions kadhaa. Na wanazigrade in social status
- FIFA - ina regulate football dunia nzima
Point: kama ukianzisha platform yako ambayo watu wengine wanatumia kufanya mambo yao,
Basi waweza regulate hizo shughuli kulingana na viwango ulivyoweka
Anzisha chama cha ushirika
Au
Platform halafu angalia namna ya kuregurate na kupata pesa