Kuna uwezekano wa mtu kufungua Taasisi/Shirika la Viwango la binafsi?

Kuna uwezekano wa mtu kufungua Taasisi/Shirika la Viwango la binafsi?

KALINZI NYUMBANI

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
1,797
Reaction score
1,594
Je kunauwezekano mtu binafsi kufungua kampuni inayofanya kazi Kama za Tbs?, Ili kazi zinazofanywa na Tbs ziweze kufanywa na kampuni binafsi?. Utaratibu ukoje?.Naombeni mnisaidie mi niko huku kijijini Kuna ela zimenitembelea sasa nilitaka niwekeze katika tbs ndogo.
 
Jibu langu linaweza kuwa mbali kidogo na matarajio yako

Ila


Vumilia halafu pata point kwa mifano hii

- Google - wana monitor almost website zote duniani na kuzigrade katika search engine
Na
Zile zenye utovu wa nidhamu wanazipa adhabu ya kutoonekana ktk search yao.
Pia
Playstore yao ya app ina regulate apps nyingi
- Facebook nao wana monitor personal accounts billions kadhaa. Na wanazigrade in social status
- FIFA - ina regulate football dunia nzima


Point: kama ukianzisha platform yako ambayo watu wengine wanatumia kufanya mambo yao,
Basi waweza regulate hizo shughuli kulingana na viwango ulivyoweka


Anzisha chama cha ushirika
Au
Platform halafu angalia namna ya kuregurate na kupata pesa
Asante kiongozi.
 
Back
Top Bottom