Kuna uyu mwanamke nilikuaga nae kwenye mahusiano tukaachana kwa ugomvi

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,913
Reaction score
11,317
Kuna uyu mwanamke nilikuaga nae kwenye mahusiano tukaachana kwa ugomvi baadae akaugua akawa ananicheki naenda kwao kumuona nisipomuona inakuwa case alikuwa anapiga simu mda wowote akinikumbuka imekuja kutokea issue maflani majuzi

Nikampigia simu saa 4 usiku Kama emergency jana nakuta maneno kwa washikaji zangu kawaambia kuwa namsumbua sio marafiki Hadi ndugu zangu namsumbua usiku nimeshangaa sana

Nimeamua kumblock in really life sintopokea simu yake Wala kujibu message yake kimya kimya maana uyu amaweza kuja kuniharibia ata ndoa nilimchukulia kama familia kumbe bado lina mentality za kichawi kabisa
 
Unaokota tunda jalalani then unalalamika Kuwa limeoza.?.
 
Umemaliza kabisa
 
jana nakuta maneno kwa washikaji zangu kawaambia kuwa namsumbua sio marafiki Hadi ndugu zangu namsumbua usiku nimeshangaa sana
Unawaamini?
Na kwa nn wakati wa shida mnakumbukana?
Kwa nn umemblock?
Kwa nn mligombana?
 
Back
Top Bottom