Unaokota tunda jalalani then unalalamika Kuwa limeoza.?.Kuna uyu mwanamke nilikuaga nae kwenye mahusiano tukaachana kwa ugomvi baadae akaugua akawa ananicheki naenda kwao kumuona nisipomuona inakuwa case alikuwa anapiga simu mda wowote akinikumbuka imekuja kutokea issue maflani majuzi
Nikampigia simu saa 4 usiku Kama emergency jana nakuta maneno kwa washikaji zangu kawaambia kuwa namsumbua sio marafiki Hadi ndugu zangu namsumbua usiku nimeshangaa sana
Nimeamua kumblock in really life sintopokea simu yake Wala kujibu message yake kimya kimya maana uyu amaweza kuja kuniharibia ata ndoa nilimchukulia kama familia kumbe bado lina mentality za kichawi kabisa
Umemaliza kabisaKuna uyu mwanamke nilikuaga nae kwenye mahusiano tukaachana kwa ugomvi baadae akaugua akawa ananicheki naenda kwao kumuona nisipomuona inakuwa case alikuwa anapiga simu mda wowote akinikumbuka imekuja kutokea issue maflani majuzi
Nikampigia simu saa 4 usiku Kama emergency jana nakuta maneno kwa washikaji zangu kawaambia kuwa namsumbua sio marafiki Hadi ndugu zangu namsumbua usiku nimeshangaa sana
Nimeamua kumblock in really life sintopokea simu yake Wala kujibu message yake kimya kimya maana uyu amaweza kuja kuniharibia ata ndoa nilimchukulia kama familia kumbe bado lina mentality za kichawi kabisa
Muhurumie tu usimblock, mtu akifika stage hiyo akili huwa inarukaSjui ata ugojwa gani huo amekonda sana
Unawaamini?jana nakuta maneno kwa washikaji zangu kawaambia kuwa namsumbua sio marafiki Hadi ndugu zangu namsumbua usiku nimeshangaa sana
Mungu nifundishe kunyamaza