BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Na ndicho kinachofanyika,,, adhabu ya viboko saivi haina mipaka,,shule za vijijini kuna siri ndito sana juu ya adhabu hii,,ndo maana ukifatilia kijijini wanafunzi wengi sana wanaongoza kwa kukatisha masomo yao.Na fimbo isivuke mipaka (izingatie umri na aina ya kosa, na kosa limerudiwa mara ngapi ) isije ikageuka na kuwa ni ukatili kwa mtoto.
Exactly.Alafu Ukatili na Utoaji adhabu ni vitu viwili tofauti.
Mwanadam anapokosea nilazima ajutishwe kupitia Adhabu
Kuchapa ni sawa mkuu,,lakini shida hii adhabu saivi imekuwa haina limit tena,,utakuta mwanafunzi anaadhibiwa na walimu si chini ya wawili hii si sawa,,,in short tafuta kijiji chochote unachokifahamu,,then tafuta mtoto mmoja aliyeacha shule especially elimu ya secondary,,jaribu kumdadisi reason kubwa ya yeye kuacha ni nini?? Then utaelewa nini nilimaanisha.Mkuu, una watoto? Unaweza tupa uzoefu mtoto wako anapoksea ? Huwa huna makaripio ya ukali kwake!?? Huwa huchapi ?.
Yap! Hapo inakuwa ni uzembe na kutowajibika kwa uongozi wa shule i.e. Mwl. Mkuu na Bodi ya shule (kwa sekondari)au Kamati ya shule (shule za msingi). Adhabu ya viboko kimsingi inatakiwa itolewe na Mwl Mkuu au Mwl. aliyekasimiwa jukumu hilo na sio kila mwl. Lakini viboko darasani i.e. katika somo fulani e.g. Hisabati, Kiswahili n.k mwl. wa somo atatumia mbinu zote ili mwanafunzi aweze kuelewa kile kinachofundishwa na mwisho atatoa mtihani au jaribio ili kupima kiwango cha uelewa kwa Mwanafunzi. Sasa hapo ikiwa Mwanafunzi atashindwa kufikia alama (marks) za ufaulu anaweza kupata adhabu ndogo ya kumhamasisha afanye bidii aidi na kwa yule anaye-perform vizuri zaidi hupongezwa kwa zawadi au kwa maneno Excellent, Very good au Good n.k.Na ndicho kinachofanyika,,, adhabu ya viboko saivi haina mipaka,,shule za vijijini kuna siri ndito sana juu ya adhabu hii,,ndo maana ukifatilia kijijini wanafunzi wengi sana wanaongoza kwa kukatisha masomo yao.
Yap! Hapo inakuwa ni uzembe na kutowajibika kwa uongozi wa shule i.e. Mwl. Mkuu na Bodi ya shule (kwa sekondari)au Kamati ya shule (shule za msingi). Adhabu ya viboko kimsingi inatakiwa itolewe na Mwl Mkuu au Mwl. aliyekasimiwa jukumu hilo na sio kila mwl. Lakini viboko darasani i.e. katika somo fulani e.g. Hisabati, Kiswahili n.k mwl. wa somo atatumia mbinu zote ili mwanafunzi aweze kuelewa kile kinachofundishwa na mwisho atatoa mtihani au jaribio ili kupima kiwango cha uelewa kwa Mwanafunzi. Sasa hapo ikiwa Mwanafunzi atashindwa kufikia alama (marks) za ufaulu anaweza kupata adhabu ndogo ya kumhamasisha afanye bidii aidi na kwa yule anaye-perform vizuri zaidi hupongezwa kwa zawadi au kwa maneno Excellent, Very good au Good n.k.
Huyo anaye acha shule kwasababu ya kuchapwa unakuta kichwani hamna kitu, na anaona ni heri aache shule sababu anapoteza muda, lakini kwa mwanafunzi ambaye anafahamu ameenda shuleni kwaajili ya nini hawezi kuacha shule sababu ya viboko.Kuchapa ni sawa mkuu,,lakini shida hii adhabu saivi imekuwa haina limit tena,,utakuta mwanafunzi anaadhibiwa na walimu si chini ya wawili hii si sawa,,,in short tafuta kijiji chochote unachokifahamu,,then tafuta mtoto mmoja aliyeacha shule especially elimu ya secondary,,jaribu kumdadisi reason kubwa ya yeye kuacha ni nini?? Then utaelewa nini nilimaanisha.
Hoja yako ya hovyo na hakuna ulijualo wewe.Huyo anaye acha shule kwasababu ya kuchapwa unakuta kichwani hamna kitu, na anaona ni heri aache shule sababu anapoteza muda, lakini kwa mwanafunzi ambaye anafahamu ameenda shuleni kwaajili ya nini hawezi kuacha shule sababu ya viboko.
Sasa mkuu; Wewe si utoe hoja yenye maana ili kuonesha kuna unalolijua?Hoja yako ya hovyo na hakuna ulijualo wewe.
Ni bora uwaze hivyo kwa sababu akili yako finyu ndo ilivyokutuma.Sasa mkuu; Wewe si utoe hoja yenye maana ili kuonesha kuna unalolijua?
Kumkebehi mwenzio kwa kuiponda hoja yake halafu ww hutoi hoja yoyote inaweza kuwa ni ishara ya wewe kuwa ni mmojawapo kati ya wale waliokimbia shule eti kwa kuogopa viboko.