Kuna vidada vinajiona vizuri yani hata vikienda motoni vitataka vichomwe na microwave

Wanawake wana tatizo moja wanafikiri kila mtu anayemuangalia anamtaka
humu ndani akikuona unamfuata pm anajua unamtaka ndio maana wengine wanafunga pm zao

hivi mnafikiri humu watu wote tunakutaka wewe tu ??
 
Kwani unalazimishwa kuwafuatiliwa mkuu, usipoongea nao unakosa oxygen ya kupumua? Waza jinsi ya kuboresha kesho yako, yasiyokuhusu achana nayo. Labda hao si level yako ndiyo maana wanakuringia.
kumbe ndio maana una likes nyingi kuliko michango yako, you talk sense
 
aibu videmu vikupite halafu havina stori na wewe hahaha hata ukimuita anakuchunia unajikuta unamwambia kwa sauti sikujua kumbe wewe bubu nisamehe!
 
Kwani unalazimishwa kuwafuatiliwa mkuu, usipoongea nao unakosa oxygen ya kupumua? Waza jinsi ya kuboresha kesho yako, yasiyokuhusu achana nayo. Labda hao si level yako ndiyo maana wanakuringia.
Wee ni me au ke?
 
Wanawake wana tatizo moja wanafikiri kila mtu anayemuangalia anamtaka
humu ndani akikuona unamfuata pm anajua unamtaka ndio maana wengine wanafunga pm zao

hivi mnafikiri humu watu wote tunakutaka wewe tu ??
UKIONA MWANAMKE KAFUNGA PM YAKE HUYO NI MWEPESI MWEPESI
 
Mmmh wacha nipite nitarudi baadae kuwaona wanaotaka kuchomwa na microwave
 
Khaa nimepotea kumbe[emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…