Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani unalazimishwa kuwafuatiliwa mkuu, usipoongea nao unakosa oxygen ya kupumua? Waza jinsi ya kuboresha kesho yako, yasiyokuhusu achana nayo. Labda hao si level yako ndiyo maana wanakuringia.Ata humu wapo naogopa kuwataja
kumbe ndio maana una likes nyingi kuliko michango yako, you talk senseKwani unalazimishwa kuwafuatiliwa mkuu, usipoongea nao unakosa oxygen ya kupumua? Waza jinsi ya kuboresha kesho yako, yasiyokuhusu achana nayo. Labda hao si level yako ndiyo maana wanakuringia.
UKIONA MWANAMKE KAFUNGA PM YAKE HUYO NI MWEPESI MWEPESIWanawake wana tatizo moja wanafikiri kila mtu anayemuangalia anamtaka
humu ndani akikuona unamfuata pm anajua unamtaka ndio maana wengine wanafunga pm zao
hivi mnafikiri humu watu wote tunakutaka wewe tu ??
ha ha ha haNa mweupeeee kichwani
Kama havinyi sawa lkni kama anachuchumaa anakunya basi wasikuogopeshaAta humu wapo naogopa kuwataja
Hahaha...eti kama mwiko Wa pilauHalafu vimbambau kama mwiko wa pilau !!
Elewa tu kwamba sio kila ulie mtokea atakukubalia kwakua wewe ni mwanaume ... Utapendwa na mwanamke wa aina yako.Ata humu wapo naogopa kuwataja