johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Una ushahidi au umeshavimbewa makande?!CCM wauaji
I don't knowIs force used by police reasonable!!???
mi kuna siku nilipanga hiyo kitu ila mungu aliye juu aliniepusha.kidogo nipite na kibanda chao
ALAFU KUNA WATU AKIULIWA MTU MWEUSI
HUKO MAREKANI UTAWASIKIA BLACK LIVES MATTER....WAKATI NI ALL LIVES MATTER
NA KWA TUKIO HILI UTAWASIKIA WAKO TULI KAMA MAJI YA MTUNGINI HAPA BONGO
OVA
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobil
Mmmh ndugu au ndo ushabiki hupofusha?[emoji849][emoji849]KUSANYA TAARIFA URUDI TENA MAANA HUJATAJA MBEYA ENEO GANI? DEREVA NI NANI ALIKUWA NA KOSA GANI? BAADA KIFO KUTOKEA WANANDUGU WAMEPEWA MWILI QU HAPANA AU WAMEZIKA WAPI. USIPANDE CHUKI BUREEEE.
Naunga mkono hojaMadereva ni muda sasa wa kuzitumia gari zenu kama siraha pindi muwaonapoa hawa daylight robbers
Kabisa....Angekuwa ndugu yangu ningeenda kuroga wote hao waliousika.
Kamati haitotoa haki lazima itakuja na majibuSubiri taarifa ya kamati!