Wengi sanaKwa mujibu wa mtoa mada kumbe kuna mateja na wavuta bangi wanawake wengi sana humu
Mwanaume anasema woooza?? Mchunguze vizuriHapana cha watoto wa kike hata wanaume nawasikia wakisema, kwa hiyo na hao ni wanawake?
Jibu hiloKwahiyo unataka kunambia hao wanaume wanaotumia wana shanga?
LabdaBasi unatumia cha Arusha japo sio sana.
Nasubiri ije nyingine ya mnaotumia hvyo viemoj vya fire[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asilimia kubwa ya mada zako..mara 'nilikuwa nachati naye messenger"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na wanaotumia maneno kama MKUUNDUGU yangu na MKUUMAALUM unawaweka kundi gani,la wavuta bangi au la watumia madawa ya kulevya!!!?
Lugha inakua kwa maneno ya mtaani mfano matapeli lilianzia kwa wahuni siku moja Mwl Nyerere akalitumia kwenye hotubaHabari za kuamka wakuu.
Kuna vimaneno ambavyo vinaibuka mitaani ambavyo hata huwezi chanzo chake vimetokea wapi.
Hata hata hivyo, mimi nikikusikia unayatumia moja kwa moja nakuweka kwenye kwenye kundi ambalo nalifikiria na moja ya makundi hayo hautakaa usiwe na kundi moja wapo.
Kuna haya maneno kwamfano "Vele, wooooza, mwana" na mengineyo ambayo nimeyasahau. Yaani nikikusikia hata kama wewe ni rafiki yangu basi naanza kujitenga na wewe aidha utakua unavuta bangi, unakunywa mapombe kupitiliza au madawa ya kulevya.
Na sisemi hivi kwasababu siyatumii mimi hapana, nimejaribu kufanya uchunguzi nikagundua yanatumiwa na watu hao na humu wamo akina shem wangu Shunie anatumia.
Na pia kama kuna mtu anabishana na mimi kwa hili nnalosema afanye uchunguzi na yeye atapata majibu kama nasema uongo au ni ukweli.
Nawakilisha.
hahahahaha upo msokoto wa ngapi hapo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na itakuja tu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Woozah niaje mwana..kama kawaaWozah wozah!!
Woozah niaje mwana..kama kawaa
hahahahaha upo msokoto wa ngapi hapo?
Barida mzee baba, mishe niaje pande hzo mkuu mishale inasomekakama kawa' kama dawa mzee baba, barida?
nasepaBarida mzee baba, mishe niaje pande hzo mkuu mishale inasomeka
Wewe utakua unakula ile kituMtoa mada kumbe vi-maneno vyenyewe ndio hivyo ,ukikutana navyotena usilete Uzi wa kindezi kama huu