Kuna vimaneno nikikuona unavitumia basi moja kwa moja nakuweka kwenye kundi baya

Kuna vimaneno nikikuona unavitumia basi moja kwa moja nakuweka kwenye kundi baya

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na itakuja tu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nasubiri ije nyingine ya mnaotumia hvyo viemoj vya fire[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Habari za kuamka wakuu.

Kuna vimaneno ambavyo vinaibuka mitaani ambavyo hata huwezi chanzo chake vimetokea wapi.
Hata hata hivyo, mimi nikikusikia unayatumia moja kwa moja nakuweka kwenye kwenye kundi ambalo nalifikiria na moja ya makundi hayo hautakaa usiwe na kundi moja wapo.

Kuna haya maneno kwamfano "Vele, wooooza, mwana" na mengineyo ambayo nimeyasahau. Yaani nikikusikia hata kama wewe ni rafiki yangu basi naanza kujitenga na wewe aidha utakua unavuta bangi, unakunywa mapombe kupitiliza au madawa ya kulevya.

Na sisemi hivi kwasababu siyatumii mimi hapana, nimejaribu kufanya uchunguzi nikagundua yanatumiwa na watu hao na humu wamo akina shem wangu Shunie anatumia.
Na pia kama kuna mtu anabishana na mimi kwa hili nnalosema afanye uchunguzi na yeye atapata majibu kama nasema uongo au ni ukweli.
Nawakilisha.
Lugha inakua kwa maneno ya mtaani mfano matapeli lilianzia kwa wahuni siku moja Mwl Nyerere akalitumia kwenye hotuba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na itakuja tu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
hahahahaha upo msokoto wa ngapi hapo?
 
utajitenga na wangapi kwa kizazi hiki kisichopenda kuongea lugha fasaha?
 
Ebu ngoja nihesabu yaani sikumbuki[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
hahahahaha upo msokoto wa ngapi hapo?
 
Wewe utakuwa hutaki watoto wa kike under25 esp walio vyuoni weweeee wabichiiiii watamuuuuu wanaitaga swag.
 
Mtoa mada kumbe vi-maneno vyenyewe ndio hivyo ,ukikutana navyotena usilete Uzi wa kindezi kama huu
 
Back
Top Bottom