Kuna viongozi huwekwa wa MAKUSUDi ili kubomoa Jamii

Kuna viongozi huwekwa wa MAKUSUDi ili kubomoa Jamii

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Hii inatokea sana Duniani kote, kuna Viongozi huletwa mahsusi kwa kazi moja tu ya kubomoa jamii ambayo tayari ilikuwa imeshaanza kujitambua, ikumbukwe kwamba poverty ya Afrika ni biashara, kuna watu wanaishi kwa sababu ya poverty ya Afrika na wana Mishahara ya kukufuru, fikiria tu kwa mfano UN na unicef bila ya utapia mlo wa watoto Afrika hakuna unicef na hela hakuna, unhcr bila wakimbizi hakuna kitu, fao bila njaa ya Afrika hakuna fao, hiyo ni mifano michache tu sijaongelea magonjwa, watoto yatima ambao wote ni biashara kwa watu.

Na ndiyo maana kuna mambo yanatokea sasa hivi hapa kwetu hakuna anayeelewa, jambo ambalo kwa common sense ya kawaida lingeweza kutatulika mara moja tu kwa amri moja lkn linaundiwa maelezo mareeefu, linazungushwa mwishowe hakuna ufumbuzi.

Umaskini wetu ni ajira kubwa kwa watu, fikiria Jew Greenberg anapiga pesa ngapi, unafikiri nchi kama France, Japan, Ujerumani, USA au hata Afrika Kusini tu angepata kazi ?

Tumesharudishwa nyuma miaka 10 mpaka sasa hivi ndani ya mwaka mmoja tu, …
 
Back
Top Bottom