Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,209
- 4,769
Baadhi ya viongozi wa Dini huwenda hawana Roho wa kweli,
Hawana msimamo, hawaelewi maelekezo ya Mungu kuhusu mambo ya watu wao, nchi yao na hata mambo yao wenyewe
Haiwezekani kama kiongozi wa dini, ukiwa kwenye nyumba ya Ibada, unaongoza watu maombi ya kuzuia mkataba wa DPWORD
Ajabu ukiitwa kwenye tume ya amani, unageuka na kuwa upande wa wa watia saini mkataba wa dp world, na ambapo ukiwa ndani ya Ibada unaamrisha fire kwamba, Dp world ipigwe fire
Mnatuonaje lakini sisi wafuasi wenu? Mbona hamna msimamo?
Tuwaeleweje?
Hata hivyo, wananchi tumeshaamua moja! Dp world hatuitaki, mpaka watakaporekebisha mkataba