MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 993
- 2,045
Tanzania ni Taifa la kipekee sana, Tanzania ni Taifa lenye watu wa tofauti na mataifa mengine Africa.
Tanzania ni rahisi sana kupata sapoti kubwa Kwa jambo dogo tu unalolifanya kwa uzalendo na kutanguliza maslahi ya Taifa mbele japo sapoti ya watanzania siyo physical ni sapoti ya masafa Yani mtu yupo simiyu na smartphone yake anakusapot wewe uliyeko Dar na smartphone yako unaandika au kurekod clip inayokosoa mabaya ya Serikali.
Zama zimebadilika sana, sasa hivi mafisadi na wahuni wa Taifa wanapaswa kutumia nguvu nyingi sana kukamilisha mipango Yao wakianzia na mipango ya kupata uongozi katika nafasi za juu.
WATANZANIA wasasa siyo wale walikuwa wanaongozwa na Nyerere, Mwingi, Mkapa na hata Kikwete.
Mtanzania wa nyakati za Kikwete ni tofauti kabisa na MTANZANIA wa nyakati za Magufuli vivyo hivyo kwa mtanzania wa nyakati hizi za awamu hii.
Utatumia mbinu ovu kushikwa madaraka lakini hicho kiti kitakuwa cha moto sana sana kwani WATANZANIA wasasa wanaendelea kuwa objective hawataki unafiki kama ni black ni black na kama ni white ni white. Utamaliza miaka mi5 ya uongozi wako lakin utakuwa umeshachoka upo hoi na harakati za kuwalazimisha WATANZANIA waonekane wanakukubali kumbe hakuna.
Ndo Yale ya kusombana kwenye maroli ili kuwaprove wrong watu ambao hata hawana shida nawew kabisa yani wameshakukataa na wanajua kabisa unapumulia mipira.
Kuna diwani wa kata niliyopo hapa ameshachokwa vibaya hata na wanachama wenzake, ilikuwa mwezi wa 3 mwaka huu aliitisha mkutano wa hadhara lakini alikosa watu kabisa walikuepo watu wa vifaa vya muziki na watu wachache walioandaa mkutano huo lakin hakukua na wahudhuriaji waliolengwa kuhudhuria.
Mwezi wa4 alienda kwenye mkutano wa wazaz na walimu shuleni, alienda Kwa kuchelewa kidogo na alipofika tu watu hawakusita kuinuka na kuondoka na kikao kikaishia hapo.
Sasa hivi visa vinaonyesha kwamba hali haiwezi kubakia ileile siku zote bali mabadiliko hayaepukiki huwezi kumdanganya mtu kila siku na bado akaendelea kukusikiliza kuna muda utafika atachoka.
HIi kauli ya chama kwanza mtu baadae ni kauli ya kizalendo na ni suluhisho la maumivu Kwa mtanzania kama itatumika kama msumeno yani isichague nani aguswe nani aachwe means Kwa maslahi ya ustawi wa chama ni lazima viongozi wawe watu wanaopendwa na WATANZANIA kama akina Mpina na wengine wa namna kama hiyo.
Hii kauli itatumika kumuondoa yeyote anayejiona yeye ni mkubwa kuliko chama na anayelazimisha mambo yaende kadri anavyotaka yeye.
Wazalendo wanaenda kuiokoa nchi na muda si mrefu tutawafahamu na wakishapata sapoti ya uhakika kutokana na wingi wao basi watashinda na mwisho wa siku maumivu ya mtanzania yatondoka na ataishi Kwa amani.
Zile zama za wapiga dili, waovu, mafisadi zinaenda kupata mapingamizi makali sana kwasabab ya keyboard worriers, watu wengi wawawaona keyboard worriers kama vile hawana akili ila ni watu wa muhimu sana kwani uzalendo huu unaanzia mtandao mpka mtaani, viongozi kuzomewa, kutopewa ushirikiano ni silaha kubwa sana ya mtanzania na kwasabab na viongozi pia ni watanzania basi wataona haina haya ya kufosi na mwisho wa siku watakaa kando au watabadilika na kuwa wazalendo.