Nadhani kama una mke afu akashindwa kupata ujauzito na yy hana shida.. possibly ww ndio utakuwa na tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi ,Mimi nimelenga kwa mwenye uwezo wa kusimamisha na anauwezo wa kutundika mimba ,ila dushi linasimama kwa wasiwasi na likisimama baada ya bao moja ndio basiNguvu za kiume na suala la ujauzito ni vitu viwili tafauti, Ijapokua ni vitu vinavyokwenda sambamba kiasi fulani.
lakini Unaweza ukawa na tatizo la nguvu za kiume na mimba ukatungisha.
Da hii sita kuta kuisahau kuna siku nimetoka zangu ,kariakoa naelekea Mbezi kwenye mwendo kasi ,mbele yangu umesimama mdude wa hatari na unanigusa gusa looh nilipata shidaumefululiza na hii mada,bila shaka utakuwa muathirika,kipimo ni kupanda mwendo kasi iliyobanana watu huku mbele yako kukiwa na msambwanda unakugonga gonga
Ni Upungufu wa nguvu za kiume, uume husimama legelege,hutumia muda mrefu kwenda mzunguko wa piliUpo sahihi ,Mimi nimelenga kwa mwenye uwezo wa kusimamisha na anauwezo wa kutundika mimba ,ila dushi linasimama kwa wasiwasi na likisimama baada ya bao moja ndio basi
Hapana. Full Blood Count inaangalia levels za Red blood cells, white blood cells na platelets. Hauwezi kupata taarifa muhimu juu ya hili tatizo.Hivi kwa mtu anayepima kipimo Full blood counter anaweza kugundulika na tatizo hili kama lipo?