proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,479
- 1,348
Kuna vipimo gani unaweza fanyiwa kwa mtu anayeonekana kuwa na tatizo la nguvu za kiume? Je watu wanaosema wana upungufu wa nguvu za kiume wanapitia vipimo gani kubaini tatizo au ndio ishu ya kupiga bao wakiwa faraghani na wapenzi wao? Kitaarabu inahitaji mwanaume afanyiwe vipimo gani kujua kama ana tatizo hilo? Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app