Hakuna mama ambae hana akili
Narudia tena hakuna mama ambae hana akili ogopa sana pale mama anaposikia kuwa kijana wake kaoa huwa wanageuka CIA hapo hapo na kuanza kutafuta taarifa za mkamwana aliyekuja kwa haraka sana.
Mwanaume unaweza usizipate taarifa kwa ukamilifu kumuhusu mkeo lakini mama yako atahakikisha hizo taarifa anazo maana
Yeye ni mwanamke anazijua akili zao kuliko vile ambavyo wewe unaweza kuzijua.
Anaweza kuyajua matendo ya mkamwana na tabia zake hata kama amemuona kwa mara ya kwanza.
Mama yake ana akili sana hawezi kudeal na mwanae maana mwanae ndio targeted victim.
So mama anadeal na adui aliyeingia kwenye familia.
Unadeal vipi na kondoo anaetaka kuangamizwa na uache kudeal na Chatu?
Lazima udeal na chatu.
Sema huyo mkeo kakuwekea pozi fulani hivi za kuhakikisha kuwa unakuwa unamuona yeye ni innocent sana kiasi cha kuhisi anaonewa na mama yako.
Haya yalinitokea miaka kumi iliyopita but
Baada ya kuapply Intelligensia ya hali ya juu
Nilikuja kujua aina ya kiumbe niliyeishi na kumzalisha watoto.
Sio poa nilikutana na mazito hayavumiliki kamwe tangu hapo nawasikiliza sana baba na mama kwenye mambo mengi mno
Hata ikitokea nimepeleka mwanamke kwetu kwa mara ya pili halafu mama akaniambia mwanangu achana na huyu mwanamke
Aisee huyo mwanamke anaachwa mwezi huo huo kisilencer.
Sema sisi huwa tunakuwa blinded na power of pussy hadi tunaangusha ufalme.
Tunatekwa na illusions sana huku tukiamini eti simply tuna vipesa basi tutaweza kuyashape maisha.
Eti tunajipa moyo kuwa kama una pesa hakuna wa kukutisha akizingua tu nampiga chini na kuchukua mwingine hapo hapo.
Unadhani ni rahisi mwanamke na mama yake wakubali kabisa kuishi na wewe kikawaida ilihali wanayajua kabisa madhaifu yake kama ni malaya ambae akishawishiwa tu kuwa Juma ana laki tano anataka nyuma
Anapagawa na kuanza kupanga bajeti kutokana na pesa ambayo bado iko kwa Juma. Hawazi kuhusu heshima yake na ya mumewe.
Kutwa anajiremba kutafuta attention za wanaume wengine tofauti na mumewe ogopa..
So mwanaume unapaswa kutuliza kichwa vizuri umchunguze vyema mwanamke unaetaka kumkabidhi dhamana ya mwili wako kwa zaidi ya miaka 40.
Yaani mwanamke ambae atajua wewe una mali nyingi sehemu fulani ukalala zako usingizi na bado akakaa macho na kuvumilia asikudhuru.
Wengi wa wake zetu wanaujua muda wetu wa kusinzia lakini sisi hatujui kwasababu hatuna mawazo hayo kwenye akili zetu mpaka tuwe na issues maalumu.
Lakini wao huweza hata kuzuga kama wamelala tukishapitiwa na usingizi wanaamka na kukaa macho kisha wanaanza kututathmini tukiwa usingizini aisee.