Kuna vitu ambavyo hutakiwi kuzidiwa na Mwanamke

Nakolezea.. kama sio kukazia

cc Smart911
 
Mungu ametuumba kwa kututofautisha katika kila kila kitu!
Kwenye mapenzi hatuangalii hvyo vitu tunaangalia mapenzi ya dhati japokua wanaume wengi kama umewazidi wanakosa kujiamini!

Ila maisha hayako hvyo maisha ni maridhiano

Santo sana.. na sifa ya mwanaume kujiamini bana.. kama unafeel moyoni aaaawww mengine baadae

cc Smart911
 
Usafi tena?!

Hapo sasa si ndio itabidi mwanaume naww uwe na dressin table na unaenda mwenge kusafisha kucha
 
Kwahiyo mme wa Mama Samia alitakiwa apindue Meza Mh! Kuna Vyeo vingine utashindana nae ila akianza kutembea na msafara wa magari na ulinzi wewe kaa pembeni bado utakuwa mme wake tu.

Vyeo vya kupambana na nao ni hivi vya kuongoza Saccos.
hapo ktk msafara acha kabisa
 
Mungu ametuumba kwa kututofautisha katika kila kila kitu!
Kwenye mapenzi hatuangalii hvyo vitu tunaangalia mapenzi ya dhati japokua wanaume wengi kama umewazidi wanakosa kujiamini!

Ila maisha hayako hvyo maisha ni maridhiano
Well said.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…