Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,919
- 2,054
[emoji1] [emoji1] [emoji1] umenichekeshaMimi wakwangu amenizidi chura tu
mkuu Mwanamke akikuzidi elimu Kuna mawili hapa1 Pesa
2 Elimu
3 Cheo
4 Usafi
mkuu napigilia msumali hapa, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo maana mwanamke aliyesoma Sana inakuwanga ngumu kuwa katika ndoa, anaona huyu mwanamme atanipa kitu gani, tha's huishia kuwa na vivulana vidogo ambavyo ataviendesha atakavyo, ndo unaona mmama mzuri, ana nyumba but hana mume.....!Mungu ametuumba kwa kututofautisha katika kila kila kitu!
Kwenye mapenzi hatuangalii hvyo vitu tunaangalia mapenzi ya dhati japokua wanaume wengi kama umewazidi wanakosa kujiamini!
Ila maisha hayako hvyo maisha ni maridhiano
Zamani sawa... zama hizi yote yanawezekana... ukamzidi au ukazidiwa na mwanamke... kibaya ni kushindana na mwanamke...
Cc: mahondaw
mwanamke aliyekosa elimu huwanga na maalifa mengi kuliko mwanaume, unakuta atafanya chochote ili watoto wale, lakini mwanaume asee sitaki kasema but very pity....Kuna tofauti ya mwanaume kukosa elimu na kuwa zobwe. Kuna wanaume walikosa elimu kwa sababu zisizoweza kuzuilika lakini wana maarifa.
Men are locigal thinkers while women are emotional feelers.Umemaliza mkuuLabda nitoe ufafanuzi kwenye point ya pili.
Ni kweli mwanamke hatakiwi kukuzidi kwa ELIMU ila hapa ninaongelea ELIMU ya maisha sio ELIMU ya kukariri vitabu darasani.
Mwanaume unatakiwa uwe na uweza wa kung'amua mambo kwa kina , undani na uhalisia zaidi.
Mwanamke hata awe na elimu kiasi gani bado ataendelea kutumia hisia katika kufanya maamuzi.
ππππUnajidanganya tu Unadhani wanawake ndio wamechaguliwa kushindwa tu?
Kitu pekee ambacho huwezi kushindana na mwanamke kwa sasa ni kupata (Hedhi na Mimba) Vingine vyote wanaweza kupata na kukuzidi.
DCWanaume wa JF DC wa kisarawe mmemzidi nn!?
hahahaha hhahaha,, [emoji91] [emoji91] [emoji91]utatukanwa matusi ya ajabu ajabu.....mwanaume gani wewe huna mbele wa nyuma kama mche wa sabuni.
yaani kama vile muumba alijua bora wabakie kuwa wasaidizi tuu na chombo cha starehe.
haswaaaaaaaa ,, napigilia msumali hapa,,,Ndo maana mwanamke aliyesoma Sana inakuwanga ngumu kuwa katika ndoa, anaona huyu mwanamme atanipa kitu gani, tha's huishia kuwa na vivulana vidogo ambavyo ataviendesha atakavyo, ndo unaona mmama mzuri, ana nyumba but hana mume.....!
hapana mkuu5.makalio
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91]mwanamke aliyekosa elimu huwanga na maalifa mengi kuliko mwanaume, unakuta atafanya chochote ili watoto wale, lakini mwanaume asee sitaki kasema but very pity....
Namba 1-3 sawa ila mwanaume uwe mchafu kidogo ili tofauti ionekane [emoji23]1 Pesa
2 Elimu
3 Cheo
4 Usafi