Kuna vitu ambavyo hutakiwi kuzidiwa na Mwanamke

Kuna vitu ambavyo hutakiwi kuzidiwa na Mwanamke

Mkuu mwanamke omba asikuzidi Mdomo, yani akiwa hana Mdomo wa lopo unafurahia but akiwa na Mdomo mrefu utajuta

Katika usafi mwanaume hata uwe msafi vipi lazima mwanamke kiasi flani amechangia, atakupigia nguo pasi atakuandalia nguo yani unaweza sema, You are alone On these but she is behind You,
 
1 Pesa
2 Elimu
3 Cheo
4 Usafi
mkuu Mwanamke akikuzidi elimu Kuna mawili hapa

~mkiwa kwenye uchumba na kakupenda hasaa anakuwa bwege anajishusha yani Unaweza sema huyu mwanamke elimu yake haijamsaidia nawe unaota mbawa

Kwenye ndoa mwanamke huwa anajiona sawa na ww hata mkitaka kutafuta mtoto utaskia tupange Uzazi, atataka kuzaa kwa upasuaji ili shepu isiondoke, yani yy kila kitu anataka kutumia elimu yake, dawa yao mojaa tuuuu
 
Kuna hatar kubwa mwanaume kuanza kushindana usafi na mabinti..
 
Zamani sawa... zama hizi yote yanawezekana... ukamzidi au ukazidiwa na mwanamke... kibaya ni kushindana na mwanamke...

Cc: mahondaw
 
mkuu napigilia msumali hapa, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

utatukanwa matusi ya ajabu ajabu.....mwanaume gani wewe huna mbele wa nyuma kama mche wa sabuni.
yaani kama vile muumba alijua bora wabakie kuwa wasaidizi tuu na chombo cha starehe.
 
Mungu ametuumba kwa kututofautisha katika kila kila kitu!
Kwenye mapenzi hatuangalii hvyo vitu tunaangalia mapenzi ya dhati japokua wanaume wengi kama umewazidi wanakosa kujiamini!

Ila maisha hayako hvyo maisha ni maridhiano
Ndo maana mwanamke aliyesoma Sana inakuwanga ngumu kuwa katika ndoa, anaona huyu mwanamme atanipa kitu gani, tha's huishia kuwa na vivulana vidogo ambavyo ataviendesha atakavyo, ndo unaona mmama mzuri, ana nyumba but hana mume.....!
 
Zamani sawa... zama hizi yote yanawezekana... ukamzidi au ukazidiwa na mwanamke... kibaya ni kushindana na mwanamke...

Cc: mahondaw

ushindane na mwanamke wa nini. kwanza unaanzaje kushindana na msaidizi wako? ni kujishusha kwa hali ya juu. mwanamke ni kiumbe dhaifu. wee wala usijipe tabu.
 
Kuna tofauti ya mwanaume kukosa elimu na kuwa zobwe. Kuna wanaume walikosa elimu kwa sababu zisizoweza kuzuilika lakini wana maarifa.
mwanamke aliyekosa elimu huwanga na maalifa mengi kuliko mwanaume, unakuta atafanya chochote ili watoto wale, lakini mwanaume asee sitaki kasema but very pity....
 
Labda nitoe ufafanuzi kwenye point ya pili.

Ni kweli mwanamke hatakiwi kukuzidi kwa ELIMU ila hapa ninaongelea ELIMU ya maisha sio ELIMU ya kukariri vitabu darasani.

Mwanaume unatakiwa uwe na uweza wa kung'amua mambo kwa kina , undani na uhalisia zaidi.

Mwanamke hata awe na elimu kiasi gani bado ataendelea kutumia hisia katika kufanya maamuzi.
Men are locigal thinkers while women are emotional feelers.Umemaliza mkuu
 
utatukanwa matusi ya ajabu ajabu.....mwanaume gani wewe huna mbele wa nyuma kama mche wa sabuni.
yaani kama vile muumba alijua bora wabakie kuwa wasaidizi tuu na chombo cha starehe.
hahahaha hhahaha,, [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Ndo maana mwanamke aliyesoma Sana inakuwanga ngumu kuwa katika ndoa, anaona huyu mwanamme atanipa kitu gani, tha's huishia kuwa na vivulana vidogo ambavyo ataviendesha atakavyo, ndo unaona mmama mzuri, ana nyumba but hana mume.....!
haswaaaaaaaa ,, napigilia msumali hapa,,,

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mwanamke aliyekosa elimu huwanga na maalifa mengi kuliko mwanaume, unakuta atafanya chochote ili watoto wale, lakini mwanaume asee sitaki kasema but very pity....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91]
 
Back
Top Bottom