grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Hapo mwisho umeua hiyo point huwa hawaikubali lakini ndiyo nature yao.Labda nitoe ufafanuzi kwenye point ya pili.
Ni kweli mwanamke hatakiwi kukuzidi kwa ELIMU ila hapa ninaongelea ELIMU ya maisha sio ELIMU ya kukariri vitabu darasani.
Mwanaume unatakiwa uwe na uweza wa kung'amua mambo kwa kina , undani na uhalisia zaidi.
Mwanamke hata awe na elimu kiasi gani bado ataendelea kutumia hisia katika kufanya maamuzi.
[emoji23]Wanaume wa JF DC wa kisarawe mmemzidi nn!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Namba 1-3 sawa ila mwanaume uwe mchafu kidogo ili tofauti ionekane [emoji23]
Ila wewe basi tuMtoa mada unataka kushindana usafi na dada zako?
Pole sana pole sana wanaume ndio mmefika huko?
hahahaPoint ya usafi iondoe japo kuna wanaume wanajiswafi kuliko wake zao
Umemaliza...shukran kwa kuniwakilisha.Unajidanganya tu Unadhani wanawake ndio wamechaguliwa kushindwa tu?
Kitu pekee ambacho huwezi kushindana na mwanamke kwa sasa ni kupata (Hedhi na Mimba) Vingine vyote wanaweza kupata na kukuzidi.
One love bossndiyo mkuu asante kwa kudadavua
much respect
Wanaume mnapendaga kujipa utukufu usio na msingi watu wote ni sawa kila binadamu ana hisia bila kujali hisia sasa from ur point wewe ni inferior you don't believe urself mi kuna wanaume wengi tu huwasaidia mambo mengi had u shauri wenye logic, kuna watu wana vipawa tu basi jinsia isiwe kigezo cha kugandamiza jinsia nyingine ili kuonyesha udhaifu.Men are locigal thinkers while women are emotional feelers.Umemaliza mkuu
Daaaa bonge la pointMwanamke hakuumbwa kuja kufanya anayofanya mwanaume, kaumbwa kufanya yale yaliyomshinda mwanaume.
Cariha uwe unatafakari kwa kina kabla ya kujibu na pia ukumbukeWanaume mnapendaga kujipa utukufu usio na msingi watu wote ni sawa kila binadamu ana hisia bila kujali hisia sasa from ur point wewe ni inferior you don't believe urself mi kuna wanaume wengi tu huwasaidia mambo mengi had u shauri wenye logic, kuna watu wana vipawa tu basi jinsia isiwe kigezo cha kugandamiza jinsia nyingine ili kuonyesha udhaifu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajidanganya tu Unadhani wanawake ndio wamechaguliwa kushindwa tu?
Kitu pekee ambacho huwezi kushindana na mwanamke kwa sasa ni kupata (Hedhi na Mimba) Vingine vyote wanaweza kupata na kukuzidi.
Thankyu mkuu..Daaaa bonge la point
I understand ur logic but majority ya comments za wanaume nyingi huwa zimeegemea upande wakuonyesha kuwa wanawake ka si CHOCHOTE yani ni kitu duni kisicho na akili while naona hata mtaani hali ilivo jambo lolote likifsniwa decision lazima Ku angalia pande mbili za jambo kwa kutumia akili zaidi kuliko moyo na hisia hapo lazima tu Ku feliCariha uwe unatafakari kwa kina kabla ya kujibu na pia ukumbuke
"We have been given two ears but one mouth so that we can listen twice as much as we Talk" so dont Butt
1.Hakuna aliyesema men hawana hisia
2.Kutumia logic au emotion only hakugarantee maamuzi/ushauri mzuri
Kwa taarifa yako logic+emotion zinafanya decision made kuwa better zaidi than either of the two!!!
3.To be practical wanaume hufanya zaidi maamuzi kwa kutumia systematic thinking(logic) na wanawake hutumia zaidi hisia(emotion) japo hakuna inayoguarantee maamuzi bora kuliko nyingine.The other way of saying that is "a man leads with his mind and a woman with her heart"
Enlightment&insight are so important
Societies have been accustomed to culture&Traditions.Too bad african women still have a hell of time katika decision making but with time Things will be Fine!I understand ur logic but majority ya comments za wanaume nyingi huwa zimeegemea upande wakuonyesha kuwa wanawake ka si CHOCHOTE yani ni kitu duni kisicho na akili while naona hata mtaani hali ilivo jambo lolote likifsniwa decision lazima Ku angalia pande mbili za jambo kwa kutumia akili zaidi kuliko moyo na hisia hapo lazima tu Ku feli
I agree with ur argument, but things are changing now hope in the future society will understand and respect women, me ni part of the change from my family to society levelSocieties have been accustomed to culture&Traditions.Too bad african women still have a hell of time katika decision making but with time Things will be Fine!
Lakini pia tusiishie kulalamika tu,we need to rise against all odds for this and eventually bring positive social impact
"You must be the change you want to see in the world"
napata tabu sana nikilifikilia hiloKwahiyo mme wa Mama Samia alitakiwa apindue Meza Mh! Kuna Vyeo vingine utashindana nae ila akianza kutembea na msafara wa magari na ulinzi wewe kaa pembeni bado utakuwa mme wake tu.
Vyeo vya kupambana na nao ni hivi vya kuongoza Saccos.