grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Hapo mwisho umeua hiyo point huwa hawaikubali lakini ndiyo nature yao.Labda nitoe ufafanuzi kwenye point ya pili.
Ni kweli mwanamke hatakiwi kukuzidi kwa ELIMU ila hapa ninaongelea ELIMU ya maisha sio ELIMU ya kukariri vitabu darasani.
Mwanaume unatakiwa uwe na uweza wa kung'amua mambo kwa kina , undani na uhalisia zaidi.
Mwanamke hata awe na elimu kiasi gani bado ataendelea kutumia hisia katika kufanya maamuzi.