Kuna vitu ambavyo hutakiwi kuzidiwa na Mwanamke

Una akili sana.
 
Naunga mkonyo
 
1 Pesa
2 Elimu
3 Cheo
4 Usafi


Wewe utakuwa mwanamme wa kiislam tu kwa maoni uliyotoa hapo juu. Wanaume wenzako huko Saudi Arabia jana waliandamana kupinga wanawake kuendesha magari, hawataki kusikia kitu kama hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…