MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Ugonile,.
Mimi ni muumini mzuri tu wa dini ya kikristo (msabato) ninae amini katika uwepo wa Mungu, shetani na evil spirits zote pamoja na uchawi kuwa vina exist.
Jana nilikua napiga stori na jamaa mmoja uku nchi za watu (yeye ni Mnorway) kwenye izo soga tukajikuta tumeibukia kwenye mambo ya dini.
Anasema nchini kwao zaidi ya 80% ni atheists (hawaamini katika Mungu wala Miungu) nikajaribu kumwelezea vitu kama miujiza and the likes lakini ni kama nilikua nampigia mbuzi gitaa.
tuweke utani na dini pembeni, unaweza vipi kumwaminisha mtu kuwa MUNGU yupo?